KINGAZI BLOG: 03/18/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, March 18, 2016

Simba yaahidi kichapo Tanga



KOCHA Mkuu wa Simba, Jackson Mayanja amesema wanakwenda Tanga kushinda katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Coastal Union utakaochezwa mwishoni mwa wiki.

Maofisa 3 Chato watumbuliwa


UTUMBUAJI majipu umehamia katika wilaya anayotoka Rais John Magufuli, ambako Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maofisa watatu wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato kutokana na uzembe na ukiukaji wa maadili ya utumishi wa umma.

Mkuu wa Shule matatani kwa mapenzi na wanafunzi wake


MKUU wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida, Christopher Ngubiagai ameagiza Mkuu wa Shule ya Sekondari Chemichem wilayani humo, Juma Makoro kukamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria kutokana na tuhuma za kufanya mapenzi na wanafunzi wake.

SUGU FT LIZZY - FREEDOM(AUDIO)

Pamoja na majukumu ya ubunge na shughuli nyingine za kiserikali bado mbunge wa jimbo la mbeya mjini kupitia chadema,Mh.Joseph mbilinyi ameamua kuudhihirishia umma wa watanzania kwamba muziki bado uko kwenye damu,hyo ni baada ya kuachia singo mpya inayokwenda kwa jina la FREEDOM. hebu isikilize hapa chini kwa kubofya link hiyo hapo chini sasa.

LIL KESH FT DAVIDO - YAYA OYOYO(AUDIO)

H

MAY D - I WANNA KNOW(AUDIO)

Magufuli aichoka IPTL

0D6A0950*Atangaza uamuzi mgumu kuhusu mitambo yao
*Aeleza siri ya kumteua Makonda Mkuu wa Mkoa Dar

HAYA HAPA MAGAZETI YA TZ LEO IJUMAA MACHI 18,2016- YAPO YA UDAKU,MICHEZO NA HARD NEWS

















Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 18 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo




March 18 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,@TANZANIAMPYA NEWS BLOG na twitter@TZmpyasasa

Official VIDEO | Ally Nipishe - Shikamoo Mapenzi

https://youtu.be/Bc1qR1vR1H8
 

Gallery

Popular Posts

About Us