KINGAZI BLOG: 04/13/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, April 13, 2016

Marekani yazidi kushambulia Al Shabaab


Image copyrightAP
Image captionWapiganaji wa Al shabaab wameendeelea kuwalenga wanajeshi wa serikali na wale wa kigeni nchini Somalia
Jeshi la Marekani limesema kwamba lilitekeleza mashambulio ya anga nchini Somalia na kuwaua wapiganaji 12 wa kundi la Al Shabaab. Idara ya ulinzi imesema wapiganaji hao walitishia usalama wa maafisa wa Marekani ambao wanasaidia wanajeshi wa serikali ya Somalia.
Mashambulizi hayo yalitekelezwa Jumatatu na Jumanne ya wiki hii viungani mwa mji wa Kismayo kusini mwa Somalia. Jeshi la Marekani halijaelezea kwa kina tishio la Al Shabaab kwa maafisa wake.
Image captionBado kundi hili linathibiti baadhi ya maeneo ndani ya Somalia
Wakaazi wa maeneo kulikofanyika mashambulio hayo wameambia BBC baadhi ya waliouawa walikua ni raia. Haya ndiyo mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani nchini Somalia dhidi ya kundi la Al Shabaab ambalo linashirikiana na mtandao wa Al Qaeda.
Wiki jana idara ya ulinzi ya Marekani ilisema kiongozi mmoja wa Al Shabaab Hassan Ai Dhoore alikua ameuawa kwenye shambulio la ndege isiyo na rubani. Wapiganaji hao wamekua wakitekeleza mashambulizi makali dhidi ya maafisa wa serikali ya Somalia, wanajeshi wa kigeni sawa na kulenga hoteli na migahawa katika mji mkuu Mogadishu.
 SOURCE;BBC SWAHILI.

ENDELEA KUFUATILIA SEHEMU YA NNE YA STORI HII KALI YA MAPENZI IITWAYO ==TARATIBU MPENZI.-4


TARATIBU MPENZI  4
Mtunzi;Geofrey Malwa
Mawasiliano;0712507115
Suzan alijikuta akiishiwa nguvu na kumruhusu Nelson kutimiza alichokipanga juu yake,,,alishindwa kusimama kutokana na raha aliyoipata kwa kushikwashikwa makalio yake yaliyokuwa laini kitendo kilichoambatana na kunyonywa ulimi wake,,,akawa kama anataka kuanguka ambapo alizuiliwa na mikono ya Nelson ilyopita kiunoni mwake na kwenda naye taratibu mpaka kwenye

NVITATION TO APPLY FOR THE RECOGNITION OF PRIOR LEARNING (RPL) EXAMINATION 2016/2017


Diamond platnumz na Huu ndio ukweli wake kuhusu Mjengo Maana anaoumiliki South Africa na Marekani..



.Baada ya kumaliza tour yake ya muziki Bara la ulaya na kurudi,
Msanii anayefanya vizuri kitaifa na kimataifa na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania, Nassib abdul maarufu kama Diamond platnumz,
Ameweka wazi mambo mbalimbali kuhusu

New AUDIO | Salam Tmk - Mfuko | Download

DOWNLOAD APPYATANZANIAMPYASASA

                                        HAPA

Njama nzito kuficha mkataba wa Lugumi zajulikana.

IGP_ErnestMangu4

 








  • Ni ule uliohusisha vigogo wa Serikali, Jeshi la Polisi
  • Watumia bilioni 5/- mafunzo kwa watu watano

MKATABA tata wa Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd inayomilikiwa na mfanyabiashara Said Lugumi, umezidi kuchukua sura mpya baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), kushindwa kuendelea na sakata hilo kutokana na kuhamishiwa        Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na usalama.

Taarifa ya TMA ya Aprili 12 ya mwelekeo wa mvua kwa siku 5 zijazo


Mamlaka ya hali ya hewa imetoa tahadhari kuhusu mvua zinazoendelea kunyesha kila sehemu nchi nzima.Katika taarifa yao kwa umma wameeleza mambo yafuatayo:

Magufuli, Lowassa wakwepana tena

1

WAZIRI Mkuu mstaafu Edward Lowassa, kwa mara nyingine tena amekwepa kukutana ana kwa ana na Rais Dk. John Magufuli.

Q-Chillah kufanya bonge la kolabo na Diamond platnumz hivi karibuni



Q-Chief amedai kuwa anataka kufanya wimbo mkubwa na Diamond.

Ameiambia blog hii kuwa mazungumzo kwaajili ya kufanyika wimbo huo yapo sehemu nzuri.

Shamsa Ford Afurahia Kurudiana na Ney wa Mitego

BAADA ya kauli ya rapa Ney wa Mitego kwa mpenzi wake wa zamani, Shamsa Ford kwamba kama anachagua wasichana wa kurudiana naye atakuwa wa kwanza kutokana na ukarimu na mapenzi yake, mrembo huyo ameibuka na kufurahia kauli hiyo.

TETESI:Anne Kilango Kupangiwa Kazi Nzuri zaidi ya Ukuu wa Mkoa Aliyofukuzwa.


Mh Anne Kilango Maleccela anasubiri kupangiwa kazi nyingine na Rais Dr Magufuli na huenda akapangiwa kazi nzuri zaidi ya kazi yake ya awali ya Ukuu wa Mkoa.

Mwanamuziki Ndanda Kosovo kuzikwa leo


Image captionNdanda Kosovo kuzikwa leo
Leo ni Siku ya Maziko ya Mwanamuziki maarufu, Ndanda Kosovo, mwenye asili ya Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo ambaye aliaga dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi nchini Tanzania alikokuwa anafanya Shughuli zake za muziki.

Mtu mrefu kuliko wote Duniani aitembelea Mauritius


Mtu mrefu zaidi duniani raia wa Uturuki Sultan Kösen aliye na urefu wa futi 8 na inchi 3 au mita 2.51 amewasilia nchini Mauritius jana asubuhi.

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 13 2016 kwenye,Habari zaUdaku, Kitaifa,kimataifa na michezo.

April 13 2016 naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamiiyaani facebook/tanzaniampyasasa blog na twitter@tanzaniampyasasa.
 

Gallery

Popular Posts

About Us