KINGAZI BLOG: 09/09/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, September 09, 2016

DUNIANI KUNA VITUKO: KUTANA NA FAMILIA INAYOLALA NA MYAMA HATARI SIMBA CHUMBA KIMOJA!


Kwenye nyumba tunazoishi mara nyingi tumekua tukifuga na kuishi na Paka au Mbwa kitu ambacho ni kawaida na ni nadra sana kukutana na mtu anaeishi na au kufuga viumbe ambavyo ni hatari kwa maisha ya binadamu mfano Nyoka. 


Sasa hii inaweza kutushangaza kwa sababu kuna Simba ajulikanaye kama mkuu wa msitu alihamishia makazi yake kwenye nyumba ya Melanie Griffith mwigizaji ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 57. 

Unaambiwa Simba huyu alihamia kwenye nyumba hiyo toka Melanie akiwa na umri wa miaka 14 huko Sherman Oaks,California Marekani ambapo mama yake Melanie ni mwigizaji Tippi Hedren na baba yake wa kambo kwa muda huo Noel Marshall.

 

Gallery

Popular Posts

About Us