KINGAZI BLOG: 03/22/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, March 22, 2016

New AUDIO | Hamadai - MARIOO | Download


New Video: Wande Coal – Superwoman


unnamed
Star wa music kutoka nigeria Wande Coal ameachia video yake mpya ya wimbo wake wa – Superwoman.

Tiwa Savage’s New Single “Bad” featuring Wizkid

Mkali kutoka nigeria,Tiwa Savage ameachia single yake mpya aliyoipa jina la RED akimshirikisha mkali mwenzie wa nigerian music WizKid,
Tiwa savage amesema ameamua kuipa single yake mpya hiyo jina la RED akimaanisha

(OFFICIAL VIDEO) Flavour teams up with Kenyan Singer Akothee for her New Single “Give It To Me” | Watch


AKOTHE 1
Kenyan singer Akothee is out with a new song called “Give It To Me” featuring Nigerian superstar Flavour.
The song was produced by Nigerian hitmaker Masterktaft and the video was shot in South Africa by Godfather Productions.

( video/audio)Izzo Bussiness,Barnaba ft Shaa.-usijiovadose


video!!Harmonize hatayasahau haya south africa


Harmonize ni msanii wa kwanza kusainiwa kwenye lebo ya Diamond Platnumz (WCB) ambapo

Jay Dee azindua wimbo wake kwa kishindo Dar


DSC_1412-768x511
Mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Lady Jay Dee akiwa katika pozi.

HAYA HAPA MAGAZETI YA TZ LEO JUMANNE,MACHI 22,2016- YAPO YA UDAKU,HARD NEWS NA MICHEZO





















MKUU WA WILAYA YA NJOMBE AFARIKI BAADA YA KUUGUA GHAFLA



Mkuu wa wilaya ya Njombe Sarah Dumba amefariki dunia jana jioni ya baada ya kuugua ghafla


Mkuu wa mkoa wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi amethibitisha kutokea kwa msiba huo, na kueleza kuwa marehemu Sarah alifariki majira ya saa moja jioni katika hospitali ya Kibena mjini Njombe ambapo alipelekwa kwa ajili ya uangalizi wa kiafya.


Dkt Nchimbi amesema kuwa, haijafahamika nini kilichosababisha kifo hicho, lakini huenda ikawa ni "Mshituko" maana jana asubuhi aliwasili ofisini kama kawaida, na kuendelea na shughuli zake akiwa hana tatizo.


Ameendelea kueleza kuwa, akiwa ofisini kwake, alianza kusema kuwa anajisikia vibaya, na kuamua kugawa majukumu yake kwa watendaji wengine, lakini hali yake ilizidi kutia mashaka na ndipo akapelekwa hospitali.


Dkt Nchimbi amesema, akiwa hospitali hali ilibadilika ndani ya muda mfupi na kuanza kutapika, na ilipofika majira ya saa moja alifariki dunia.


"Nadhani inaweza kuwa ni tension maana tupo kwenye maandalizi ya kilele cha maadhimisho ya wiki ya maji, na yeye amekuwa akishughulika sana na maandalizi hayo ambayo kilele chake ni kesho, sasa leo amefika ofisini kama kawaida, lakini baadaye akasema hajisikii vizuri, baadhi ya kazi akatuma watu, baadaye alikwenda hospitali, lakini muda mfupi baada ya kufika hali ikabadilika, akatapika sana na hapo ndipo alipopoteza maisha" Amesema Dkt Nchimbi.


Mkuu huyo wa mkoa amesema mipango ya maziko itatangazwa baadaye leo, lakini kwa taarifa za awali alizonazo ni kwamba huenda akapelekwa nyumbani kwao ambapo ni Dar es salaam, ingawa kuna taarifa nyingine zinadai kuwa nyumbank kwao ni Morogoro.


Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu Sarah Dumba. Amin


Sarah Dumba katika picha akipeana mkono na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo K. P. Pinda

Picha !! RAIS MAGUFULI ATII AGIZO LA MKUU WA MKOA WA DAR KUHAKIKI SILAHA,ASEMA NI AIBU ASKARI POLISI KUNYANG'ANYWA SILAHA NA JAMBAZI




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekuwa mtu kwanza kutekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam la kuhakiki silaha, ambapo bunduki zake mbili aina ya Shortgun na Pistol zimehakikiwa nyumbani kwake Ikulu Jijini Dar es salaam.
 

Gallery

Popular Posts

About Us