KINGAZI BLOG: 03/25/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, March 25, 2016

Rais MAGUFULI atoa zawadi za pasaka



Rais JOHN POMBE MAGUFULI amekabidhi zawadi zenye jumla ya shilingi milioni tisa kwenye vituo ishirini na nne vya watoto wa mitaani

SAMSUNG yazindua simu mpya



Kampuni ya kimataifa ya vifaa vya elektroniki ya Sumsung imesema simu aina ya Sumsung Galaxy s7 na S 7 Edge zimetengenezwa kwa teknolojia ambayo inamwezesha mteja kuitumia kwa ufanisi
SAMSUNG yazindua simu mpya

Mr May D - I Wanna Know [Official Video]



LWP - MWENYE NYUMBA NA MPANGAJI(AUDIO)


Mashowllah - Yesterday (Official Video)


Waliokamatwa kwa uchangu wahukumiwa


Image result for machangudoa chini ya polisi 
Machangudoa wakiwa chini ya ulinzi wa polisi.

WAREMBO waliokamatwa hivi karibuni kwenye msako wa machangudo na wazururaji uliofanywa na jeshi la polisi, wamefikishwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Chamwino, mkoani hapa na kusomewa hukumu
.Image result for machangudoa chini ya polisi
Katika msako wa Machi 18, mwaka huu, warembo; Mariam Hamis (mkazi wa Mwembesongo), Shani Hassani (mkazi wa Mawenzi), Zawadi Shekilema (hakujulikana), Magdalena Joseph (mkazi wa Kihonda), Natasha Hassan (mkazi wa Kihonda), Wema John (mkazi wa Msamvu) na Happyness Pascal (mkazi wa Sabasaba) walikamatwa katika msako wa polisi maeneo ya Itigi.
Siku hiyohiyo, katika mtaa wa Kahumba, msako uliendelea ambapo warembo; Maria Thomas (mkazi wa Kahumba), Najma Shabani (mkazi wa Mafinga), Scola Petro (mkazi wa Sabasaba), Edna Joakim (mkazi wa Karume), Mwasiti Saidi (mkazi wa Boma Road), Aanita Saidi (mkazi wa Mawenzi), Nayma Rashid (mkazi wa Mlapakolo), Rehema Juma (mkazi wa Mafisa) na Leah Wesley walikamatwa.
Mara baada ya kukamatwa na upelelezi kukamilika, warembo hao walipandishwa katika mahakama hiyo ya Mwanzo chini ya Hakimu Jane Mella na kusomewa mashtaka yao kisha kutakiwa kujibu ndiyo au hapana.
Kuna baadhi walikiri kufanya kosa hilo kutokana na ugumu wa maisha ambapo waliokiri walihukumiwa kifungo cha nje kwa miezi minne huku wale waliosema hapana wakihukumiwa kifungo cha miezi minne au kulipa faini ya shilingi elfu hamsini kila mmoja.
Baadhi yao walifanikiwa kulipa faini hiyo, wengine walishindwa hivyo kujikuta wakitupwa gerezani kwenda kutumikia kifungo chao.

Uliye naye ni mtu sahihi kwako au umebugi?

Image result for love couple imagesHakuna jambo linalowasumbua watu wengi katika uhusiano wa kimapenzi kama kumtambua mwenzi sahihi. Upo msemo maarufu mitaani kwamba ni bora ukosee mambo mengine yote lakini siyo

Faida/ hasara za kurudiana na mpenzi wako wa zamani.


happy couple
Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, nakukaribisha tena jamvini tuangalie sehemu ya pili ya mada yetu. Wiki iliyopita tulijadiliana kwa kina kuhusu suala la kuachana kisha kurudiana kwa watu ambao wapo kwenye uhusiano wa kimapenzi.
Pia tukatazama hasara au athari wanazoweza kukumbana watu wanaoishi kwenye aina hii ya uhusiano.

Zari adaiwa kumpa makavu laivu Kajala


zariZarinah Hassan ‘Zari’.

Kufuatia madai kuwa msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja amekuwa na katabia ka’ kujiweka kimahaba kwa Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakati Zarinah Hassan ‘Zari’ akiwa Sauzi, madai yametua mezani blog hii kuwa, kimenuka kati ya Zari na Kajala.

Ndege yanaswa KIA ikitorosha tumbili 61


WAKATI Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe akiwasimamisha kazi mara moja wakurugenzi wanne na mameneja saba wa Kanda wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) na Idara ya Wanyamapori kutokana na usimamizi mbovu wa rasilimali za nchi, ndege iliyokuwa ikisafirisha tumbili 61 nje ya nchi imekamatwa.

Haya hapa Magazeti ya leo March 25 2016 kwenye,habari za`kitaifa kimataifa Udaku, na michezo




March 25 2016 nakuletea haabari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter @tanzaniampya news blog
 

Gallery

Popular Posts

About Us