KINGAZI BLOG: 03/31/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Thursday, March 31, 2016

MABEST FT BARAKA DAR PRINCE - MACHO KWA MACHO(NAKUCHANA LEO)(AUDIO)

Ringtone ft Christina Shusho - Tenda Wema (Official Video)

New AUDIO | Alice Kella - NIMEKUCHAGUA | Download


Bomba la Mafuta Kuokoa Zaidi ya Shilingi Trilioni moja

 
Dar es Salaam. Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), limesema Uganda itachagua kupitishia mradi wake wa bomba la mafuta Tanzania kwa sababu ni nafuu kwa Dola 500 milioni za

UMOJA WA ULAYA WAZIDI KUSITISHA MISAADA KWA TANZANIA.




Nchi 10 kati ya 14 za umoja wa Ulaya zimetangaza kusitisha ufadhili wao kwa bajeti ya serikali ya Tanzania.

SAKATA LA RUSHWA; WABUNGE WATATU WA TANZANIA WAFIKISHWA KIZIMBANI.





New AUDIO | YAMOTO BAND - NIGANDE | Download

WATUMISHI HEWA SERIKALINI;WAKUU WA MIKOA WAWASILISHA RIPOTI YA IDADI YA WATUMISHI HEWA,MWANZA YAONGOZA,



Hatimaye wakuu wa Mikoa yote nchini wametii agizo la Rais John Magufuli lilokuwa linawataka wasilishe ripoti ya idadi ya watumishi hewa kwenye mikoa husika.

MAGAZETI YA TANZANIA LEO ALHAMIS,MACHI 31,2016 KWENYE HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,UDAKU,MICHEZO NA STORY NYINGINE KALI.

 

EgyptAir: Abiria apiga selfie na mtekaji wa ndege ya misri.


Selfie ya Egyptair
Mtu aliyepiga picha na mtekaji wa ndege ya kampuni ya EgyptAir aliyevalia mkanda bandia wa mlipuaji wa kujitolea muhanga amesema kuwa alitaka kuuona vizuri ukanda huo.

Mtekaji nyara wa ndege ya misri awekwa rumande Cyprus.

Mtekaji nyara awekwa rumande Cyprus
Mwanaume aliyejisalimisha kwa polisi wa Cyprus baada ya kuteka nyara ndege ya Egypt Air amefikishwa mahakamani.

Mara wapewa siku 21 kuhakiki silaha zao.


MKUU wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo ametoa muda wa wiki tatu kwa watu wote wanaomiliki silaha kinyume cha sheria wazisalimishe polisi au kwenye ofisi za serikali na baada ya muda huo
 

Gallery

Popular Posts

About Us