KINGAZI BLOG: 04/08/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, April 08, 2016

Ujumbe mzito wakutwa kaburini kwa Kanumba!

Steven-Kanumba


Wakati mama yake, Flora Mtegoa (pichani), baadhi ya wasanii na mashabiki wake wakikumbuka miaka minne ya kifo cha aliyekuwa staa mkubwa wa filamu za Kibongo, Steven Charles Kanumba ‘The Great’, kumezuka sintofahamu ya kukutwa ujumbe mzito wa kimapenzi kaburini kwa msanii huyo ambao

Yanga kutesa nyasi na Al Ahly jijini Dar


Yanga Yanga watakutana na Al Ahly uwanja wa taifa Dar es Salaam
Klabu ya Young Africans itashuka dimbani kesho Jumamosi kucheza dhidi ya miamba wa Misri Al Ahly hatua ya 16 bora katika Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL)

Papa Francis kutoa tamko muhimu kuhusu ndoa




PapaImage copyrightAFP
Image captionPapa Francis amekuwa akitofautiana na wahafidhina kanisa Katoliki
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis leo anatarajiwa kutangaza wazi msimamo wake kuhusu ndoa, njia za kupanga uzazi na malezi ya watoto.
Tangazo hilo linatarajiwa kuwa kwenye ripoti ya mikutano miwili mikuu ya kutoa maamuzi kuhusu sera za kanisa hilo, maarufu kama sinodi.

Binti mlemavu afungiwa ndani kwa zaidi ya miaka 16,Aeleza mazito.!


Vitendo vya kuwafungia ndani watoto wenye ulemavu limeendelea kushamiri kwenye maeneo mengi nchini tukio la sasa likitokea katika kijiji cha njani wilayani Arumeru ambapo mtoto wa kike mweye ulemavu wa viungo amebainika kufungiwa ndani kwa kipindi cha umri wake wote wa miaka kumi na sita.

Mtoto huyo Wine Ruth anayelelewa na bibi yake baada ya kutelekezwa na mama yake mzazi mara baada tu ya kugundua kuwa ana ulemavu amegundulika wakati wa zoezi la kuwaorodhesha watoto wenye ulemavu wilayani Arumeru ambapo bibi yake Veraelly Ndetaulo anakiri kumfungia kwa ajili ya usalama wake anapokwenda kuwatafutia rizi wajukuu zake.

Akizungumzia tukio hilo Mbunge wa Viti Maalum Walemavu Dk.Elly Macha aliyeongoza zoezi la kumtoa ndani mtoto huyo anasema imefika wakati sasa jamii ikatambua kuwa malezi ya watoto wa kundi hilo ni la kushirikishana hasa ikizingatiwa kuwa wengi wamekua wakitokea kwenye familia zenye kipato duni.

Maisha ya Bibi Ndetaulo anayemlea mtoto huyo mwenye ulemavu,pamoja na mdogo wake ni magumu kulingana na umri wake,wadau walioshiriki kwenye zoezi la kumtoa mtoto huyo likiwemo Jeshi la Polisi wilayani Arumeru wanashauri kuwa ipo haja kwa Serikali ya kijiji kuangalia uwezekano wa kumsaidia.

Lowassa amponda Rais Magufuli.....Afunguka mambo matano mazito muhimu


 
Siku 155 baada ya Dk John Magufuli kuapishwa kuwa Rais, aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema katika uchaguzi huo, Edward Lowassa ametaja mambo matano yanayomfanya autilie shaka mustakabali wa Taifa chini ya uongozi wa Rais huyo wa Awamu ya Tano.

MSANII MAARUFU AFARIKI AKIIMBA JUKWAANI


Huzuni na mshangao umeghubika Indonesia baada ya muimbaji maarufu Irma Bule, aliyekuwa akiwatumbuiza mashabiki wake kuanguka na kufariki dunia jukwaani

Maandazi yamwokoa kifo cha kifusi

Bajeti ya Tanzania ya mwaka 2016/17 kuanza kuchambuliwa leo




KAMATI za Kudumu za Kisekta leo zinatarajia kuanza kuchambua taarifa za utekelezaji wa Bajeti za Wizara zinazosimamiwa na kamati hizo.
Hatua hiyo inafanywa kwa mujibu wa Kanuni ya 98 (2) ya Kanuni za Kudumu za Bunge.
Akizungumza jana Mkuu wa Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano cha Bunge, Owen

Magazeti ya tanzania yaalichoandika leo ijumaa ya April 8 kwenye habariza kitaifa,kimataifa,udaku na michez

April 8 2016  naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook/tanzaniampya sasa blog,  pia kwenye twitter @tanzaniampysasa.

PICHA 3: Rais Magufuli na Rais Kagame Kigali leo kwenye kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari



Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania yupo nchini Rwanda kwenye ziara ambayo ameianza April 6 2016 na pamoja na mazungumzo na mwenyeji wake Rais Paul Kagame, Dr. Magufuli ameshiriki katika kumbukumbu ya Wanyarwanda wote waliofariki kwenye mauaji ya Kimbari.

MEEK MILL - TRAP VIBES(AUDIO

BENNY BANASSI FT CHRIS BROWN - PARADISE(OFFICIAL VIDEO)


Iyanya - Type Of Woman [Official Video]

TANZIA:MBUNGE WA CHADEMA AFARIKI DUNIA


Binti Lissu

Christina Mughwai Lissu enzi za uhai wake.
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kutoka mkoani Singida, Christina Mughwai Lissu (CHADEMA) amefariki dunia leo kwa ugonjwa wa kansa. Alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Aghakhan jijini Dar es Salaam.

Hiki ndicho alichokiandika Lulu miaka 4 ya kifo cha Kanumba

Kanumba-612



Lulu Elizabeth Michael

Rais Magufuli kaeleza kwanini hapendi sana kusafiri nje ya nchi -



Tunajua Rais Magufuli amekuwepo nchini Rwanda kwa ziara ya siku mbili kuanzia April 6 2016 mpaka April 7 jioni aliporudi Tanzania, kwenye moja ya maongezi yake mbele ya Wananchi wa Rwanda ameongea pia kuhusu kwanini hapendi kusafiri nje ya nchi na toka achaguliwe October 2015,
 

Gallery

Popular Posts

About Us