KINGAZI BLOG: 05/02/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, May 02, 2016

DOWNLOAD: Harmonize x Raymond – Penzi

Video: Gigy money kuachia video ya wimbo ‘Tikisa Supu’, ataka watoto wakae mbali

Gigy



































Msanii wa muziki, Gigy Money anatarajia kuachia video yake mpya ya wimbo ‘Tikisa Supu’, ambapo amewataadharisha watoto kukaa mbali na kazi hiyo.

Muimbaji huyo ambaye pia ni video queen, ameiambia Bongo5 Ijumaa hii kuwa ameamua kuachia wimbo ‘Tikisa Supu’ baada ya kuona tayari kuna watu wengi ameshaimba nyimbo za kutikisa sehemu za miili yao.
“Unaniuliza kucheza, nitikise nini?, maana watu wameshatikisa kiuno, mapaja, nitikise matiti?, no, hawataki. Nitikise Supu, wanataka. Kwa hiyo kwa lugha za kwenye runinga nikisema nitikise makalio haitaleta picha nzuri, na nyimbo naihisi itapendwa sana,” alisema Gigy.
Video ya wimbo ‘Tikisa Supu’ utatoka katikati ya mwezi huu baada ya kukamilika kwa matayarisho ya mwisho
  SOURCE BONGO 5

.CLICK HERE TO WATCH VIDEO

 

Gallery

Popular Posts

About Us