KINGAZI BLOG: 03/16/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, March 16, 2016

hebu fuatilia sehemu ya kwanza ya kisa hiki cha mapenzi

TARATIBU MPENZI,,,Sehemu ya kwanza,,,ni utamu tuu kwenda mbelee,,,

Chombezo;Taratibu mpenzi
Mtunzi;Geofrey Malwa
Phone no;0712507115
Sehemu ya 1
Ilikuwa ni tafrija ya Suzan mtoto pekee wa Bwana George Suleman aliyehitimu masomo yake ya shashada ya Sheria,hivyo wakiwa kama familia yeye na mkewe waliamua kumfanyia tafrija ndogo hapo nyumbani kwao,ili kupendezesha Tafrija hiyo Bwana George Suleman aliwaalika ndugu na jamaa zake wa karibu ambao kwa heshima na taadhima walihudhuria wote bila kukosa

NAFASI ZA KAZI SERIKALINI

The United Republic of Tanzania is conducting recruitment of civil servants through Public Service Recruitment Secretariat,  

Kizaazaa cha Bundesliga kuendelea wikendi hii

Bayern Munich hawajashinda katika mechi zake mbili za mwisho na mshambulaiji Thomas Mueller anasema hawastahili tena kupoteza pointi nyingine zaidi za Bundesliga wakati wakipambana leo na Werder Bremen
Uongozi wa Bayern kileleni mwa msimamo wa ligi umepunguzwa hadi pointi tano baada ya

Wakenya walalamikia kuongezeka kwa ufisadi


Utafiti Uliofanywa na taasisi ya serikali ya kupambana na rushwa Kenya inaonyesha kuwa nusu ya raia nchini humo wanaamini kuna ongezeko la matukio ya rushwa katika kipindi cha utawala wa rais Uhuru Kenyatta
Kulingana na taarifa hiyo, iliyotolewa na tume ya maadili na kupambana na rushwa, asilimia 74 ya idadi ya raia nchini humo , wanaamini kuwa rushwa imeongezeka katika utawala wa sasa wa rais Uhuru Kenyatta.

Picha ya utupu wa Kim Kardashian yafutwa Australia


Kanye West na mkewe Kim Kardashian
Picha iliochorwa ya utupu wa Kim Kardashian imefutwa siku chache tu baada kuchorwa na msanii mmoja mjini Melbourne nchini Australia.

Usingizi wamponza mchezaji Ujerumani


 Bendtner
Bendtner ametozwa faini ya euro 50 kwa kila dakika aliyochelewa
Mshambuliaji wa Wolfsburg Nicklas Bendtner amepigwa faini baada ya kuchelewa kufika mazoezini kwa sababu ya usingizi.
Bendtner, ambaye aliwahi kuichezea Arsenal ya Uingereza, alichelewa kwa dakika 45 baada ya kukosa kusikia mlio wa kengele ya saa ya kumuamsha.
Klabu hiyo imempiga faini ya euro 2,250 (£1,768), euro 50 kwa kila dakika aliyochelewa.
“Sikusikia mlio,” mchezaji huyo wa timu ya taifa ya Denmark aliambia gazeti la Bild la Ujerumani. “Ni kosa langu”.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28 mwezi uliopita pia aliadhibiwa na klabu hiyo baada ya kupakia mtandaoni picha akiwa na gari lake la Mercedes. Sera ya Wolfsburg huwaruhusu wachezaji na wakufunzi kutumia magari ya Volkswagen pekee wakielekea mazoezini.
Aliwahi kupigwa faini ya £80,000 na kupigwa marufuku mechi moja na Uefa baada ya kufichua suruali ya ndani yenye nembo ya mdhamini baada ya kufunga bao dhidi ya Ureno Euro 2012.
Pia alitozwa faini na Arsenal mwaka 2014 kwa kwenda Copenhagen bila idhini.

Trump asema huenda fujo zikazuka Marekani


 
TrumpTrump ameshindwa katika mchujo jimbo la Ohio
Mfanyabiashara tajiri Marekani Donald Trump, amesema anafikiri kutatokea fujo iwapo ataongoza kwa wajumbe kisha chama chake cha Republican kitakosa kumuidhinisha awanie urais.

MAOMBI YA NAFASI ZA MAFUNZO MWAKA WA MASOMO 2016/2017.

BEN POL FT G-NACKO & VJ ADAMS - NITAFANYAJE(NINGEFANYAJE RMX)(AUDIO)


PAUL OKOYE - CALL HEAVEN(AUDIO)


Chief Maker - DEVOTA (Official Video)


Lulu azuiwa kuingia Ikulu


elizabethmichaelofficial (1)Staa wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
DAR ES SALAAM: Imefichuka! Baada ya kuitwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwa ajili ya kupongezwa kutokana na tuzo aliyopata nchini Nigeria, staa wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ alijikuta akihaha baada ya kuzuiwa kuingia Ikulu kutokana na kutokuwa na kitambulisho cha chama cha waigizaji.

Tatizo la nguvu za kiume, maana yake na tiba – 4


Anorgasmia

 ulevi kupita kiasi wa pombe, madawa ya kulevya husababisha mwanaume kupoteza nguvu za kiume. Msomaji ningependa kukujulisha kuwa tafiti zinaonesha unywaji pombe unaathari nyingi

Zijue faida za tikitimaji mwilini



Watermelon-slices1
TIKITImaji ni miongoni mwa matunda yanayopatikana kwa wingi nchini ni tunda lenye virutubisho vingi vyenye faida kubwa katika mwili wa binadamu japokuwa asilimia 92 ya tikitimaji huwa ni

Maajabu ya Dunia: Mbwa Mwenye Pua Mbili Mcheki Hapa


PIC BY VENICE BEACH FREAKSHOW / CATERS - (Pictured: Two-nosed dog Toby) - A freakshow owner has found one SMELL of a find - adopting a dog that has two noses. Adorable pooch Toby did not turn his noses up at the chance to join Todd Ray at Venice Beach Freakshow, California, after he was found roaming the streets and was nearly put down. Since being adopted, the unique Australian Shepherd has been a huge hit at the attraction. Todd said: Everyone that meets Toby loves him - hes the sweetest dog on Earth. - SEE CATERS COPY
Pua mbili za mbwa mwenye jina la Toby kama anavyooneakana.
HAYA tunaweza kusema ni maajabu ya dunia, kwa uharisia ni mara chache sana kuona mnyama

Maagizo sita ya Magufuli


Miezi mitatu kabla simu bandia kuzimwa, wateja wahaha kuzibadili


Untitled-1
DESEMBA 18, mwaka jana Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitangaza kuzifunga simu zote zitakazobainika kuwa bandia baada ya miezi sita ya mwanzo ya mwaka huu, yaani Januari Hadi Juni.

Siri ya Maalim Seif kuishi hotelini Dar hii hapa.


0D6A8296
Dar es Salaam
SIRI imefichuka kuhusu hatua ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar (SUK), Maalim Seif Sharif Hamad, kuishi hotelini jijini Dar es Salaam.

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 16 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo

March 16 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, @tanzaniampya news blog.na twitter@TZmpyasasa.

Magazeti ya tanzania yalichoandika leo tarehe 16 march katika habari kuu na michezo.

SIMULIZI FUPI: NILIKUWA NA MPENZI

SIMULIZI FUPI: NILIKUWA NA MPENZI

MTUNZI: George Iron Mosenya SIMU: 0655 727325;
 Mwanzoni sikumpenda kutoka moyoni, nilimpenda kwa kuwa tu alikuwa mrembo haswa.
 

Gallery

Popular Posts

About Us