KINGAZI BLOG: 04/02/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, April 02, 2016

USIPITWE NA STORI HII KALI YA MAPENZI INAYOITWA>>>TARATIBU MPENZI>>>SEHEMU YA 3


 TARATIBU MPENZI-Sehemu ya 3,,,
Mtunzi;Geofrey Malwa
Mawasiliano;0712507115
Kumbe alikuwa ni Nelson,alimbananisha mlinzi kwenye ile kona huku akimkunja shati na kumkandamiza kwenye shingo yake maeneo ya koromeo na kumtolea macho kwa ukali,,
,,,pochi yangu iko wapi?,,,
,,,hii hapa Bosi wangu,,,
Aliongea mlinzi huyo maneno yaliyoambatana na kumkabidhi pochi yake Nelson,akiwa haamini kitendo hicho alimwachia mlinzi na kuanza kuikagua pochi yake,alipoona kila kitu kiko sawa,kiubinadamu aibu ilimshika,lakini hakutaka kuomba radhi,aligeuka na kuondoka kwa hatua za taratibu,,,Bosi na hii ni ya kwako?,,,aliongea hivyo Mlinzi huyo huku akimwonyesha ile bangili ya

HUU HAPA MSHAHARA WA RAIS WA TANZANIA DR.JOHN POMBE MAGUFULI.


EWURA YASHUSHA BEI YA UMEME KUANZIA LEO,SERVICE CHARGE YAZIKWA.





Mamlaka ya Usimamizi wa Huduma za Nishati na Maji EWURA imetangaza kushusha bei za umeme kuanzia leo kwa watumiaji wote wa viwango tofauti.

SERIKALI KUPITIA WIZARA YA AFYA KUAJIRI WATUMISHI WA AFYA (AJIRA ZA AFYA 2015/16) 10000


Serikali kuajiri watumishi wa afya 10,00.

Picha: TRA Wanaipiga Mnada Range Rover Evoque ya Wema Sepetu


Unaikumbuka ile Range Rover Evoque 504 ambayo Wema Sepetu alijizawadia kwenye birthday yake mwaka jana?

Video: Ariana Grande – Dangerous Woman

Video: Ariana Grande – Dangerous Woman

Video: Rihanna – Kiss It Better (Explicit)

Image result for rihanna kiss it better

Msimamo bomba la mafuta watangazwa.



KAMPUNI ya Total E&P Uganda imesisitiza kwamba bomba la mafuta mazito kutoka Uganda, litajengwa kupitia ardhi ya Tanzania kwenda Bandari ya Tanga, licha ya kuwepo kwa mazungumzo ya kushawishi lipite katika ardhi ya Kenya kwenda Bandari ya Lamu, ambayo haijajengwa.

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 2 2016 kwenye, Habari za kitaifa,kimataifa,udaku na michezo

April 2 2016 naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook/tanzaniampya news blog,  pia kwenye twitter @tanzaniampysasa....
 

Gallery

Popular Posts

About Us