KINGAZI BLOG: 04/05/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, April 05, 2016

JASON DERULO - IF IT AIN'T LOVE (AUDIO)

IYANYA - TYPE OF WOMAN(AUDIO)



JOSE CHAMELEONE - FT KETCHUP - PAM PAM RMX(AUDIO)


KISS DANIEL - MAMA(AUDIO)



BABY BOY FT BECKA TITLE - NIKO FRESH(AUDIO)

YCEE - MOVE(AUDIO)


New AUDIO | Rich Mavoko - Akitaja | Download



Rais wa ZANZIBAR azindua Baraza la Wawakilishi


Rais wa ZANZIBAR na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. ALI MOHAMED SHEIN amehutubia baraza la wawakilishi na kueleza mikakati ya serikali yake
Rais wa ZANZIBAR na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. ALI MOHAMED SHEIN
Rais wa ZANZIBAR  na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. ALI MOHAMED SHEIN amehutubia baraza la wawakilishi na kueleza mikakati ya serikali yake katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Miongoni mwa mambo ambayo Dkt.SHEIN ameyataja kuwa ni kipaumbele cha serikali yake ni kuwekeza katika sekta ya viwanda na kutafuta masoko kwa mazao ya bahari huku akiahidi kuwachukulia hatua wafanyakazi wazembe.

Akizungumzia suala la uchumi Rais wa ZANZIBAR amesema serikali yake itahakikisha uchumi unakua kwa kuwekeza katika sekta ya viwanda na kutafuta masoko ya mazao ya bahari.

Amewataka wajumbe wa Baraza la Wawakili kushirikiana na viongozi mbalimbali katika maeneo yao ili kutatua migogoro ya ardhi inayowakabili wananchi.

Dkt SHEIN amesema muswada ya sheria kuhusu rasilimali ya mafuta na gesi  uko tayari na unatarajiwa kuwasilishwa katika baraza hilo kwa ajili ya majadiliano.

USHIRIKINA;.Walimu Walazwa UCHI na Kuchapwa Viboko



Ofisi ya Elimu wilayani Kisarawe, Mkoa wa Pwani imelazimika kuwapa likizo walimu saba wa Shule ya Msingi Mingwata ili kuwajenga kisaikolojia

Dayna Nyange Adai Anapenda Kuvaa Nguo za Kuacha Kiuno Chake Wazi



Msanii wa kike, Dayna Nyange amedai anapenda kuvaa nguo ambazo zinaacha wazi sehemu ya

HUYU NDIYE MSICHANA AMBAYE DIAMOND HUMFIKIRIA AKITAKA KUTUNGA WIMBO WOWOTE

Image result for diamond platnumz

Diamond Platnumz ni bingwa wa kuandika nyimbo za kuachwa, kuumizwa na kutendwa kimapenzi.

Makamu wa Rais wa Kenya Ruto asubiri uamuzi muhimu mahakama ya ICC


RutoImage copyrightAFP
Image captionBw Ruto anataka kesi dhidi yake iondolewe
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto atafahamu leo iwapo kesi inayomkabili katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) itatupiliwa mbali.

App ya simu ya Taliban yatolewa sokoni


Taliban
Image captionWapiganaji wa Taliban wamekuwa wakipigana Afghanistan na Pakistan
Alemarah, programu inayotumiwa katika simu za Android iliyoundwa na kundi la wapiganaji wa Taliban imeondolewa kwenye

Magufuli aokoa bil 2/- sherehe za Muungano


RAIS John Magufuli ameahirisha shamrashamra za maadhimisho ya siku ya Muungano na hivyo kuwezesha kuokoa zaidi ya Sh bilioni mbili, alizoagiza zikaanzishe

HAYA HAPA MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDIKA LEO JUMANNE,APRIL 05,2016 KWENYE HABARI ZA KITAIFA,KIMATAIFA,UDAKU,MICHEZO NA STORY NYINGINE KALI

April 5 2016 naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook/tanzaniampya sasa blog,  pia kwenye twitter @tanzaniampysasa

SERIKALI YATOA TAMKO KUHUSU WAHISANI KUENDELEA KUTOA MISAADA KWA WATANZANIA.


Serikali imetoa tamko kuhusu wahisani kuendelea kuisaidia Tanzania katika bajeti Kuu ya 2016/2017.
 

Gallery

Popular Posts

About Us