KINGAZI BLOG: 04/12/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, April 12, 2016

MAGUFULI KUFUATA NYENDO ZA EDWARD MORINGE SOKOINE


Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya 
 Aliyekuwa waziri mkuu katika serikali ya awamu ya kwanza Hayati ndg.Edward Moringe Sokoine.
Ni wazi kwamba kila siku zinavyozidi kwenda utendaji wa kazi za Rais John pombe Magufuli unazidi

Maduka zaidi ya 150 yaungua moto


Zaidi ya maduka 150 yameteketea kwa moto
Moto mkubwa umezuka na kuteketeza vibanda vya maduka zaidi ya 150 katika mji wa Kayanga wilaya ya Karagwe mkoa wa Kagera magharibi mwa Tanzania. Moto huo ambao ulianza Jumatatu majira ya sa 2:00 usiku umeteketeza mali na bidhaa za aina mbalimbali kama mchele, sukari, nguo, simu, pamoja na bidhaa zingine.

Alichokisema ANNE KILANGO MALECELA baada ya kufutwa kazi na JPM.

Anna Kilango
Leo taarifa ambayo imetrend vya kutosha kwa muda mfupi, ni kuhusu Rais wa J.M wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mama Anne Kilango Malecela katika nafasi hiyo.

VIDEO:Tazama hapa Rais Magufuli Akiongea wakati akimfuta kazi ANNE KILANGO MALECELA

Rais Magufuli

 Rais wa tanzania,John Pombe Magufuli amemfuta kazi Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anne Kilango malecela,Baada ya kudaiwa kutoa taarifa zisizo sahihi kuhusiana

Rais Magufuli: Baada ya Anne Kilango, Sasa ni zamu Mawaziri na Makatibu Wakuu.. Atakayeshindwa lazima aache Kazi mara moja

http://www.habarileo.co.tz/images/Frequent/Rais-Maguful.jpg

Dakika chache baada ya kutangaza kumuondoa Anne Kilango Malecela katika nafasi ya Ukuu wa Mkoa wa Shinyanga siku 22 tu baada ya kumuapisha, Rais John Magufuli ametoa onyo kwa Mawaziri na Makatibu wakuu aliowateua.

Navy Kenzo wala shavu la ubalozi Airtel Tanzania



Uwekezaji wao sasa umeanza kulipa. Kundi la Navy Kenzo limepata shavu la ubalozi wa promotion mpya ya Airtel.

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 12 2016 kwenye,Habari zaUdaku, Kitaifa,kimataifa na michezo.


April 12 2016 naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamiiyaani facebook/tanzaniampyasasa blog na twitter/tanzaniampyasasa.
 

Gallery

Popular Posts

About Us