KINGAZI BLOG: July 2016

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, July 31, 2016

‘Matiti ya Kajala, Dawa za Kichina zinahusika’

Baada ya gumzo kubwa kuibuka juu ya muonekano mpya wa matiti ya msanii wa filamu Bongo, Kajala Masanja, shostito wake wa karibu amemwaga ubuyu kuwa, dawa za kuongeza matiti za Kichina zinahusika.

Akipigia stori na Ijumaa hivi karibuni, mtoa ubuyu wetu ambaye aliomba hifadhi ya jina lake alisema kuwa, huko nyuma matiti ya Kajala yalikuwa ‘ndala’ akawa anatumia dawa f’lani za kupaka ili kuyafanya yatune.

“Nyie muoneni vile tu lakini zile nido zake za sasa Mchina anahusika sana, hawezi kuanika ukweli lakini habari ndiyo hiyo,” alisema mtoa ubuyu huyo.

Paparazi wetu alibahatika kuongea na Kajala juu ya madai hayo ambapo alisema: “Watu bwana wanaongea sana, je nikiamua sasa kutumia hizo dawa itakuwaje? Niseme tu kwamba matiti yangu ni orijino na siku zote yana mvuto ndiyo maana sionagi hatari kuyaanika.”

SUPER STAR DIAMOND PLATINUMS KUTOKA NA HAMISA MOBETO MAPYA YAIBUKA,PICHA NYINGINE ZAVUJA,ZAZUA UTATA MKUBWA,ZARI THE BOSS LADY NAYE YUMO

Gossip Diamond Platnumz accused of sleeping with hamisa and zari at the same room in South Africa, this gossip has made headline Today after this photo been discovered. as you see by yourself, same 
location and same room, as you know that few weeks ago Diamond Platnumz was accused of dating Hamisa Mobeto.
But Diamond Platnumz refuse that accusation and show the public that he loves her wife too much, but see it by yourself the above photo, the left photo is Hamisa Mobeto taking selfie in the room, where later Zari and diamond slept.
what is your opinion on this.

(PICHAZ+) MPENZI MPYA WA R.KELLY MWENYE MIAKA 19





 

MREMBO JOKATE AFUNGUKA MENGI TENA KUHUSU ALI KIBA, SOMA HAPA

Msanii na mwanamitindo Jokate Mwegelo amefunguka na kumwaga sifa za kutosha kwa msanii Alikiba na kusema kuwa ni msanii huyo ni mfalme ila hana mbwembwe kama wasanii wengine.

Jokate alitumia ukurasa wake wa Instagram kumwaga sifa hizo na kudai kuwa akiwa amenuna akisikia sauti ya Alikiba anajikuta anafurahi kwani anavutiwa sana na sauti hiyo.“Alikiba ni King wa kutoa ngoma baada ya ngoma, King asiye kuwa na mbwembwe, ni mzuri kuliko wote, ni mfalme wa sauti ya kumtoa nyoka pangoni. Nikinuna najikuta nafurahi nikisikia sauti yake, hapa nimesikiliza ‘Nisamehe’ nairudia tu, Nisamehe ni wimbo wa taifa unakuja kwa kasi ya ajabu”. Aliandika JokateAlikiba na Baraka the Prince wanategemea kuachia wimbo ambao utaiwa ‘Nisamehe’ ni wimbo wa Baraka the Prince ameshirikisha Alikiba.

Picha 9: Rais Magufuli alivyoendelea na ziara yake Igunga na Nzega Tabora

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jana July 30 2016 ameendelea na ziara yake katika Mkoa wa Tabora akitokea Mkoa wa Singida.

Mkoani Tabora, Rais Magufuli alizungumza na wananchi waliosimamisha msafara wake katika vijiji vya Nanga na Ziba na alifanya mikutano ya hadhara Igunga na Nzega ambako amewahakikishia wananchi kuwa serikali yake itahakikisha inatekeleza ahadi zilizopo katika Ilani ya Uchaguzi Mkuu ya Mwaka 2015.

Katika mkutano wa hadhara uliofanyika Igunga, Rais Magufuli amepokea malalamiko ya wananchi kuhusu kutoanza kutumika kwa kituo cha mabasi na soko na amewaagiza viongozi wa Mkoa wa Tabora kuhakikisha kituo cha mabasi cha Igunga na soko la Igunga vinaanza kutumika kuanzia Jumatatu ijayo ya tarehe 01 Agosti, 2016.

Kuhusu kero ya maji, Dkt. Magufuli alisema Tanzania imepata mkopo wa dola za kimarekani Milioni 268.35 kutoka nchini India ambazo zitatumika kutekeleza mradi wa kusambaza maji ya ziwa Viktoria katika Miji ya Tabora, Igunga, Nzega, Sikonge

Rais Magufuli  na Mwenyekiti wa Kijiji cha Nanga Wilaya ya Igunga Masesa Kishiwa Makala kutoka Chadema wakati akiwa safarini kuelekea Nzega Mkoani Tabora.

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na wabunge wa Singida

Rais Magufuli katika Kijiji cha Nanga Wilayani Igunga mkoani Tabora.






MSANII SABBY ANGEL ASEMA KWA MAUNO YANGU HAKUNA ANAYENIFIKIA .

Mduara, Sabrina Omary ‘Sabby’.

Msanii wa filamu ambaye hivi sasa amejiingiza kwenye Muziki wa Mduara, Sabrina Omary ‘Sabby’ amefunguka kwamba anajiamini linapokuja suala la kukata viuno kiasi kwamba haoni msanii wa kike wa kumfunika.

Sabby ambaye ametoa kibao kinachokwenda kwa jina la Inahusu amesema anajua uwezo wa kuimba anao, ukijumlisha na uwezo wake wa kukata nyonga kana kwamba hana mfupa kiunoni anaamini atatusua kimuziki.

“Mimi najua ninaimba miondoko kama ya Shilole lakini niseme tu kwamba, yeye na wasanii wengine wa kike hakuna wa kunifikia kwa mauno,” alisema Sabby.

MREMBO FAIZA ALLY ATUPIA PICHA ZA NUSU UTUPU MTANDAONI JIONEE MWENYEWE








Maaajabu! !!!MTOTO WA MIAKA 11 ALIPO ONYESHA USHUJAA WA AJABU SIKU CHACHE KABLA YA KIFO CHAKE SOMA HAPA LIVE!!

"Mwili kwenye toroli la wagonjwa uliozungukwa na madaktari ni wa mtoto mwenye umri wa miaka 11 aitwae Liang Yaoyi tokea China. Utaelewa kwanini madaktari wameuzunguka kama wakiusudujia.Liang alikuwa na ndoto za kuwa daktari atakapokua mkubwa, bahati mbaya ndoto yake haijaweza kutimia kwani alifariki kwa ugonjwa uitwao kitaalamu "Brain Tumor".

Ila kinachoshangaza ni kile alichowaambia wazaz wake kabla hajafariki, kwamba kama hatopona na kufariki viungo vyake "organs" i.e heart transplant, vitolewe na kupewa wale wenye uhitaji ili wapate kuishi. Alisema wapo watu wengi wamefanya mambo mema na mazuri duniani na yeye anataka kuwa mmojawapo.Madaktari wanasema walishangazwa na ujasiri wa Liang, katika taaluma yao ya utabibu hawajawahi kukutana na hali kama hiyo. Kwanini wasitoe heshima inayomstahili?

Katika picha ni madaktari wakionesha heshima zao za mwisho kwa mwili wa Liang kabla ya kumpeleka chumba cha upasuaji ili kumuondoa baadhi ya viungo kama alivodai yeye mwenyewe. Na baadae mwili ungekabidhiwa kwa wazazi wake kwa ajili ya mazishi.

Imagine ni jinsi gani mtoto wa miaka 11 anafahamu kuwa anakufa na bado anafikiri ni jinsi gami ataweza saidia wengine. Kwanini binadamu wa kileo tusiwe na upendo japo nusu ya huu wa Liang kwa wengine?Me nafikiri sifiki hata nusu ya huo ujasiri alionao Liang. Bila shaka na wewe mwenzangu. Hivyo basi kama na mimi ningeuona mwili wake ningeupa heshima kama hao madaktari walivofanya.

Inashangaza eti."

Magazeti ya Tanzania leo tar 31 Julai kwenye headlines za kitaifa,kimataifa na michezo.


Karibu, Tunakuletea headlines za magazeti ya Tanzania, leo jumapili ya tarehe 31 Julai 2016


 


















BABA ACHORA TATOO YENYE PICHA YA MWANAE USONI



Saturday, July 30, 2016

Wezi wa Umeme Waendelea Kukamatwa

Shirika la Umeme Tanesco Mkoa wa Kinondoni limeendelea kuwakamata wananchi wanaotumia umeme wa wizi kujiunganishia umeme kinyume cha sheria pamoja na kuwekewa mita za Luku na Vishoka ambao siyo watumishi wa Shirika hilo.

Katika eneo la Mbezi jijini Dar es salaam, Mfanyabiashara wa Chakula Mariam Mjema amejikuta matatani baada ya kubainika kuwa mita ya Luku aliyowekewa ilikuwa ya wizi na haina kumbukumbu Tanesco, huku umeme aliowekewa ukipitishwa moja kwa moja kutoka katika nguzo ambapo ametumia umeme huo kwa zaidi ya mwaka mmoja bila kulipia.

Akijitetea mbele ya mbele ya maafisa wa Tanesco na polisi waliofika eneo hilo,Mfanyabiashara huyo amedai kuwa vijana waliojitambulisha kuwa mafundi kutoka Tanesco walifika na kumfungia mita hiyo ya Luku na kuwalipa bila kupewa risiti.

Akizungumza baada ya kubaini wizi huo huo Afisa wa Tanesco mkoa wa kinondoni Injinia Marsel Antony amewatahadharisha wananchi kuwa macho dhidi ya Vishoka na huduma zote za mita za luku pamoja na kuunganishiwa Umeme zinapatikana katika ofisi za Tanesco na sio mitaani.

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi siku 23 tangu amteue




Taarifa Ya Bunge Kwa Umma Kuhusu Kamati Za Bunge




Lil wayne aipaisha kwa hotuba ya Clinton



Mashabiki wa mwanamuziki wa Marekani Lil Wayne wamekuwa wakidai kwamba huenda maneno ya wimbo wa msanii huyo yalitoa msukumo kwa hotuba ya bi Hillary Clinton.

"When there are no ceilings, the sky's the limit," {Iwapo hakuna paa la nyumba basi ,kikomo ni mbingu},Clinton aliliambia kongamano la chama cha Democrat.

Alikuwa akizungumza baada ya kukubali tiketi ya kuwania urais kupitia chama cha Democrat.

Mashabiki wa msanii huyo wa muziki wa rap sasa wamezua uvumi katika mtandao wa Twitter wakipendekeza kuwa huenda ameshinikizwa na wimbo huo unaosema kuwa iwapo hakuna paa kikomo ni mbingu.

Hakujakuwa na tamko lolote kutoka kwa Hillary Clinton ama timu yake lakini Lil Wayne amekuwa akihusisishwa.

Amewaambia maripota kwamba yeye hana tatizo lakini akakiri kwamba hajaiona hotuba hiyo.
Baadaye alichapisha ujumbe wa kumuunga mkono mgombea huyo wa urais

 

Gallery

Popular Posts

About Us