KINGAZI BLOG: 03/27/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, March 27, 2016

Rais MAGUFULI awataka watanzania kufanya kazi



Rais JOHN MAGUFULI amewataka watanzania kufanya kazi kwa bidii ili kuharakisha maendeleo ya nchi na kukuza uchumi wa taifa ikiwa ni sehemu ya kuondokana na umasikini nchini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimia waumini huku akisikilizwa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Kanisa la Kiinjili la Kilutheri

Kikao cha Baraza la 9 la wawakilishi chaitishwa visiwani ZANZIBAR


Kufuatia kukamilika kwa uchaguzi wa marudio visiwani ZANZIBAR , Katibu Mkuu wa Baraza la wawakilishi YAHAYA KHAMIS HAMAD
Katibu Mkuu wa Baraza la wawakilishi YAHAYA KHAMIS HAMAD
 
Kufuatia kukamilika kwa uchaguzi wa marudio visiwani ZANZIBAR , Katibu Mkuu wa Baraza la wawakilishi YAHAYA KHAMIS HAMAD  ametangaza kuitisha kikao cha Tisa cha Baraza la Wawakilishi  siku ya jumatano tarehe 30 mwezi huu ili shughuli za baraza hilo ziweze kuanza kwa mujibu wa sheria.

CAF: Chad yajiondoa Taifa stars mashakani.

: Chad yajiondoa mashindanoni na kuicha Tanzania Taifa Stars mashakani
Chad imejiondoa kutoka kwenye kinyang'anyiro cha kufuzu kwa dimba la mataifa ya Afrika linalotarajiwa kufanyika mwakani huko Gabon.
Shirikisho la soka la Chad limefikia kauli hiyo kutokana na ukosefu wa fedha.

Walioshambulia Ufaransa na Brussels kupewa hukumu ya kifo.

Maafisa wa polisi nchini Ubelgiji
Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, amesema kuwa kundi la Waislamu wenye itikadi kali walioshambulia Ufaransa mwaka uliopita na mashambulizi ya juma lililopita ya Brussels wanaendelea kuangamizwa.
Alisema Serikali za Ufaransa na Ubelgiji zimefaulu kupata wanakojificha wengi wa wapiganaji hao na kuwatia mbaroni.

Nassari aongoza maziko ya diwani pekee wa CCM

Haya hapa Magazeti ya leo jumapili March 27 2016 kwenye,habari za`kitaifa kimataifa Udaku, na michezo

March 27 2016 nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook/tanzaniampya news blog,  pia kwenye twitter @tanzaniampysasa.

20160327_044736
20160327_044747
20160327_044816
20160327_044826
20160327_044845
20160327_044854
20160327_044906
20160327_044916
20160327_044946
20160327_044957
20160327_045014
20160327_045028
20160327_045039
20160327_045047
20160327_045057
20160327_045108
20160327_045119
20160327_045128
20160327_045143
20160327_045154
20160327_045229
20160327_045241
20160327_045251
20160327_045300
20160327_045311
20160327_045321
20160327_045330
20160327_045340
20160327_045413
20160327_045422
 

Gallery

Popular Posts

About Us