KINGAZI BLOG: 03/30/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, March 30, 2016

J.MARTINS FT JOSE CHAMELEONE & WAJE - FEELING YOU(AUDIO)


YEMI ALADE - NAKUPENDA(AUDIO)


Waliompiga Daktari Mkoani Mtwara Wakamatwa Wakijiandaa Kutoroka Kwenda Nje ya Nchi


Kufuatia tukio la ndugu wa mgonjwa  kumpiga Daktari Mkoani Mtwara, tayari jeshi la Polisi Mkoani humo linawashikilia watu kadhaa kwa kitendo hicho cha kumpiga Daktari wakati akiwa katika majukumu yake ya kikazi.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mtwara,Henry Mwaibambe (Pichani) amesema

Wafanyakazi watatu TANESCO Watiwa Mbaroni Kufuatia Kifo cha Mfanyakazi Mwenzao Aliyenaswa na Umeme Juu ya Nguzo


Wafanyakazi watatu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) mkoani Morogoro, wanashikiliwa na Polisi wakihojiwa kutokana

Mpya Kuhusu Ajira za Walimu na Nyinginezo...Wenye Vyeti Zaidi ya Kimoja Kutopangiwa Kituo cha Kazi Serikalini.

RAIS MAGUFULI ATUA MWANZA NA KUFIKA KIJIJINI KWAKE,AWATAKA WATANZANIA KUFANYA KAZI KWELI KWELI ILI KUEPUKA MISAADA YA WAFADHILI




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefika nyumbani kwake katika kijiji cha Mlimani, Wilaya ya Chato Mkoani Geita kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuwa Rais, ambapo akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa shule ya sekondari Chato, ametoa wito kwa kila mtanzania kuchapa kazi kwa juhudi ili nchi iondokane na utegemezi wa misaada ya wafadhili ambayo huambatana na masharti.

HAYA HAPA MAGAZETI YA TANZANIA YALOCHOANDIKA LEO JUMATANO,MACHI 30,2016.KWENYE HABARI ZA KITAIFA KIMATAIFA UDAKUNA MICHEZO.


March 30 2016 nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook/tanzaniampya news blog,  pia kwenye twitter @tanzaniampysas...
20160330_043849
20160330_043904
20160330_043923
20160330_043936
20160330_044349
20160330_044405
20160330_044005
20160330_044017
20160330_044029
20160330_044042
20160330_044054
20160330_044105
20160330_044121
20160330_044143
20160330_044212
20160330_044251
20160330_044305
20160330_044323
20160330_044335
20160330_044426
20160330_044442
20160330_044459
20160330_044512
20160330_044526
20160330_044540
20160330_044557
20160330_044608
20160330_044624
20160330_044634
20160330_044709
20160330_044721
20160330_044758
20160330_044810
 

Gallery

Popular Posts

About Us