KINGAZI BLOG: 04/27/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, April 27, 2016

VIDEO: Ripoti ya CAG imevigusa vyama vya siasa? adhabu kutolewa ndani ya siku 90

Baada ya ripoti ya CAG kutangazwa, Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi  amevitaka vyama vya siasa nchini kuwasilisha hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2014/15 ndani ya siku 90 kabla havijachukuliwa hatua za kisheria.
Pia amevitaka vyama hivyo kuheshimu sheria za mashirika ya umma ambazo ni Sheria ya Ukaguzi wa Fedha za Umma, Sheria ya Fedha za Umma na Sheria ya Vyama vya Siasa
Tulishavikumbusha vyama vya siasa kuwasilisha bajeti zao,  baada ya kupata taarifa ya CAG hatua inayofuata ni kuangalia taarifa hiyo na kuchukua hatua‘ –Jaji Francis Mutungi
Kama kutakuwa na sintofahamu katika mahesabu ya vyama vinavyopata ruzuku hatua ni pamoja na kukata kiwango kinachodaiwa,  lakini tumewaambia kwenye barua kuwa wana miezi mitatu ya kukamilisha suala hili‘ –Jaji Francis Mutungi



BOFYA HAPA KUONA VIDEO:ALICHOSEMA JAJI MUTUNGI KUHUSU RIPOTI YA CAG

Ningekuwa Dhaifu Ningekuwa Nimeshajiua kwa Matusi Mtandaoni – Huddah


Huddah Monroe amewataka Wakenya na wengine wanaomfahamu kumwacha aishi maisha yake.

Kupitia post ndefu aliyoiweka Instagram, Huddah amedai kuwa kwa matusi anayotukanwa kila siku kwenye mitandao ya kijamii, kama angekuwa na moyo mwepesi angekuwa ameshajiua. Ameomba mara moja watu kuacha kufuatilia maisha yake na kumtukana pasipo sababu.

“I, Huddah Monroe , I am known to live my life . I have no issues with anyone these days. Actually NEVER had issues with anyone unless you provoked me .HUDDAH has been the center of ridicule in this country for so many years now .People wAke up and on their Whatsapp group all they discuss is Huddah …. Creating memes about me and things I haven’t said . Thank God for my THICK SKIN, if I was a weak person I would’ve committed SUICIDE long time ago because of CYBER BULLYING…I am a grown woman now , if you have issues with me,” aliandika kwenye Instagram.

“Call me , or DM and tell me what I have done to you . Or let us meet in person and state your issues with me and let’s deal with them like grown ups…..It’s 2016 , and I its high time people stopped tweeting shit about others and posting abuses on IG! Stop hiding behind your keypad abusing people . Stop being a coward , a keyboard hero and let us solve personal issues personally! This is MAINLY for those who call me a WHORE all the fuckin time . Just because i post bikini pics ? And I don’t say where I work ? Just Because I’m not stuck in a 9-5 like you and I own things ? You want to know how I make my money ? Are you Kenya Revenue Authority? You have NO right to call me names no matter what,” aliongeza.

“I will show people what I want to show them here .That’s all … whore this , w
hore that . I have no problem with that name . But Atleast before calling me names have evidence of one of your friends, father , or clique fucking me and paying me. Sittin here I am someone’s daughter , sister , friend , and I am not growing any younger. All these things need to STOP! I am extremely TIRED of being this countries source of ridicule . CYBER BULLYING needs to STOP! That’s all . If you have issues with me come tell me right on my face … DM me I’ll give you my number if need be … #ThoseWhoLoveMeCare #LetsTakePersonalMattersPersonally #CyberBULLYINGneedsToStop #InternetTrollsNeedToStop.”

VIDEO;Hebu angalia kipande cha video ya Diamond platnumz aliyomshirikisha zari.

Diamond & Zari

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot.

Soma Hapa Nafasi za Kazi Kutoka Makampuni mbali mbali leo 27 April 2016

Magufuli awapa msamaha wafungwa 3,551

  
 RAIS John Magufuli katika kusherehekea miaka 52 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ametoa msamaha kwa wafungwa 3,551 kwa kuwapunguzia 1/6 ya vifungo vyao. Katika msamaha huo, wafungwa 580 wataachiwa huru huku wengine 2,971 wakinufaika na msamaha lakini watabaki gerezani wakitumikia sehemu ya kifungo kilichobaki. 

 Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira ilisema wafungwa wote wamepunguziwa 1/6 ya vifungo vyao zaidi ya punguzo la kawaida linalotolewa chini ya Kifungu 49(1) cha Sheria ya Magereza Sura 58 isipokuwa walioorodheshwa katika Ibara ya Pili.

 Meja Jenerali Rwegasira alisema msamaha huo utawahusu wafungwa wenye magonjwa kama Ukimwi, Kifua Kikuu na saratani na wako katika hatua ya mwisho, wazee wenye miaka 70 au zaidi ambao magonjwa na umri viwe vimethibitishwa na Jopo la Waganga chini ya Uenyekiti wa Mganga Mkuu wa Mkoa au Wilaya. 
Alisema pia wafungwa wa kike walioingia na mimba gerezani na walioingia na watoto wanaonyonya pamoja na wafungwa wenye ulemavu wa mwili na akili ambao ulemavu huo umeidhinishwa na Jopo la Waganga chini ya Uenyekiti wa Mganga Mkuu wa Mkoa au Wilaya. “Ni mategemeo ya Serikali watakaoachiwa huru watarejea tena katika jamii kushirikiana na wenzao katika ujenzi wa taifa na watajiepusha kutenda makosa ili wasirejee tena gerezani,” alisema Katibu Mkuu huyo. Alisema msamaha huo hautawahusu wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kunyongwa na wale wenye adhabu kama hiyo lakini imebadilishwa kuwa kifungo cha maisha. Pia wanaotumikia kifungo wa makosa ya kujihusisha na usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya kama cocaine, heroine, bangi na mengineyo na wanaotumikia kifungo kwa makosa ya kujihusisha na uombaji, upokeaji au utoaji rushwa. “Wafungwa wanaotumikia kifungo kwa makosa ya unyang’anyi ukiwemo wa kutumia silaha au kujaribu kutenda makosa hayo, au wanaotumikia kifungo kwa makosa ya kupatikana na silaha, risasi au milipuko isiyo halali,” ilisema sehemu ya taarifa ya Katibu Mkuu Meja Jenerali Rwegasira.
 Alitaja wafungwa wengine ambao hawatahusika na msamaha huo ni wanaotumikia kifungo kwa makosa ya shambulio la aibu, kunajisi, kubaka na kulawiti au kujaribu kutenda makosa hayo na wale wanaotumikia kifungo kwa makosa ya wizi wa magari na pikipiki au kujaribu kutenda makosa hayo.

Ripoti ya CAG ni kitanzi kwa Mafisadi.



MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema wakati umefika sasa wa kubadili mfumo kutoka ule wa kutegemea vyombo vya serikali kutumika kuchunguza namna mafisadi walivyopata mali zao ili sasa mafisadi wenyewe ndio wathibitishe vyanzo vya mali hizo.

Je, Wajua Majina ya Pombe na Magufuli yalipotokea? soma hapa

Majina mawili ya Dk. John Pombe Joseph Magufuli yana historia yake ya jinsi yalivyopatikana.

Majina hayo mawili ‘Pombe’ na ‘Magufuli’ yalitokana na bibi na babu wazaa baba yake Magufuli.

Jina la ‘Pombe’ alipewa na bibi yake kwani wakati anazaliwa bibi yake alikuwa amepika pombe siku
hiyo.

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 27 2016 kwenye,Habari zaUdaku, Kitaifa,kimataifa na michezo.

   April 27 2016 naanza kwa kukuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamiiyaani facebook/tanzaniampyasasablog na twitter@tanzaniampyasasa  ; ...













Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Ushauri n.k.?Basi Wasiliana Nasi Simu namba

 

Gallery

Popular Posts

About Us