KINGAZI BLOG: 04/07/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Thursday, April 07, 2016

LULU LA DIVA;NIKO TAYARI KUOLEWA NA WIZKID.(VIDEO)


Audio | Chemical - FOREVER (Ruby Cover) | Mp3 Download



ZARI AENDELEA KUCHUNGUZWA NA POLISI KWA TUHUMA HIZI.


ZARI47817Zarina Hassan ‘Zari’ au mama Tiffah.
DAR ES SALAAM: Kufuatia kamatakamata ya wafanya-biashara wanaodaiwa kujihusisha na madawa ya kulevya ‘unga’ Bongo, kuna madai kwamba, Jeshi la Polisi Tanzania linawachunguza upya mastaa

MATOKEO YA MTIHANI WA TAIFA WA KIDATO CHA NNE 2015 HAYA HAPA.>>>>>ingia hapa uone>>>>>

THE NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

Miaka Minne ya Kifo cha Steven Charles Kanumba, Hii Ndiyo Hali Halisi


Hii ndiyo hali halisi! Ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa staa wa filamu Bongo, Steven Charles Kanumba ambapo ametimiza miaka minne kaburini, mambo mbalimbali yametokea tangu alipofariki dunia huku

Bajeti ya Serikali 2016/ 2017 ni Trilioni 29.5.....Matumizi ya Kawaida ni Trilioni 17.7, Mikopo ni Trilioni 11.1. Bofya Hapa Kuona Vipaumbele Vilivyotajwa


Bajeti ya kwanza ya Serikali ya Awamu ya Tano itaizidi ya Serikali ya Awamu ya Nne kwa Sh7.1 trilioni baada ya Waziri wa Fedha kutangaza sura ya bajeti ya mwaka 2016/17 inayoonyesha

Hivi Ndivyo Irene Uwoya Alivyojifungua Kwa Upasuaji Bila Ganzi.


Msanii wa filamu Irene Uwoya amesema hakupenda kabisa kujifungua kwa upasuaji lakini ilimbidi afanye hivyo ili kuokoa maisha yake pamoja naya mwanaye.

Picha Mbalimbali Za Rais Magufuli Na Rais Kagame Wakiwa Nchini Rwanda

Magazeti ya tanzania yaalichoandika leo alhamisi ya April 7 kwenye habariza kitaifa,kimataifa,udaku na michezo

. April 7 2016  naanza kwa nakuletea habari zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye ,habari za kitaifa,kimataifa Michezo na udaku na stori nyingine kali ili ujue kilichojiri duniani.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook/tanzaniampya sasa blog,  pia kwenye twitter @tanzaniampysasa
 

Gallery

Popular Posts

About Us