KINGAZI BLOG: 07/20/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, July 20, 2016

7 Employment Opportunities at Azania Bank

AZANIA BANK LTD

EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
Azania Bank is a Commercial Bank which was recently recorded fast growth. Currently the Bank has the vacant positions to be filled. For those who are willing to join well motivated work teams of Azania Bank family please apply as follows:-

1. E-channels Officer
Qualification, Experience and Competence
– A Degree or Advanced Diploma in Banking or Business Administration.
– Fluent in English and Kiswahili
– Computer Literate
– At lest two years experience in related field

2. Mortgage Specialist
Qualification, Experience and Competence
– A Degree or Advanced Diploma in Banking or Business Administration.
– Fluent in English and Kiswahili
– Computer Literate
– At lest two years experience in related field

3. Teller
Qualification, Experience and Competence
– A Degree or Advanced Diploma in Banking or Business Administration.
– Fluent in English and Kiswahili
– Computer Literate
– At lest two years experience in related field

4. Credit Officers
Qualification, Experience and Competence
– A Degree or Advanced Diploma in Banking or Business Administration.
– Fluent in English and Kiswahili
– Computer Literate
– At lest two years experience in related field

5. Treasury Officers
Qualification, Experience and Competence
– A Degree or Advanced Diploma in Banking or Business Administration.
– Fluent in English and Kiswahili
– Computer Literate
– Time Keeper
– Perform the assigned tasks with due diligence
– At lest two years experience in related field

6. Trade Sales Officer
Qualification, Experience and Competence
– A Degree or Advanced Diploma in Banking or Business Administration.
– Fluent in English and Kiswahili
– Computer Literate
– At lest two years experience in related field

7. Senior Internal Auditor
Qualification, Experience and Competence
– Bachelor Degree or Advanced Diploma in Computer Science, Mathematics, Statistics Commerce, Banking or Business Administration. Certified Data Analyst
– Fluent in English and Kiswahili
– Computer Literate
– At lest two years experience in related field

Remuneration

Attractive remuneration packages await successful candidates to the above posts as per Azania Bank Limited Salaries and incentive Schemes as reviewed from time to time.

General Information

Shortlisted Candidates will be required to meet all costs associated with their attendance to the interviews and ready to work anywhere within Tanzania. Please note also that successful candidates will be required to meet their relocation costs.

Mode of Application.

Azania Bank Limited is an equal opportunity Employer. Applications must be attached with detailed resume, Copies of relevant certificates, names and address of at least two referees. Please provide telephone numbers and e-mail addresses of referees. The deadline for submission of applications is one week after the appearance of this advert.

Please note that only shortlisted candidates will be contacted

Please apply in confidence to:
Managing Director,
Azania Bank Limited,
Mawasiliano Towers,
Sam Nujoma Road
P.O.Box 32089
Dar es Salam.

Tel No: 2412025/26/27
Fax No: 2412028



VIDEO: Watanzania wauawa, wengine wakamatwa wakiwa na Al-Shabaab Somalia

Baada ya kuwepo kwa taarifa za watanzania kukamatwa wakienda kujiunga na vikundi vya kigaidi na hazikupatikana taarifa zozote za kuthibitisha hilo.
Sasa leo July 20 2016 Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi, Augustine Mahiga, amezungumza na waandishi wa habari kuhusu mambo yaliyojadiliwa katika mkutano wa 27 wa Umoja wa nchi za Afrika uliofanyika hivi karibuni Kigali nchini Rwanda, pia ameligusia suala la ugaidi.
Waziri Mahiga amesema ……..>>>’aliniambia pale airport, huyu ni kamishna kwamba ili tatizo ningependa mlijue vijana wenu wengi wengine wamekamatwa na wengine wameuawa pale Somalia hivyo hili tatizo tulitafutie mkakati ili mlielewe zaidi kwa hiyo aliniambia hivyo

Wanafunzi Wote Walio Vyuo Vikuu Wasio na Sifa Kuondolewa. Vyuo Kurudisha Fedha za Wanafunzi Hewa...

Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako amesema wanafunzi wote wanaosoma vyuo vikuu wasio na sifa wataondolewa bila kujali wapo mwaka wa ngapi na hata waliopo kazini wataondolewa kwa kuwa hao ndio wanatumia njia za mkato kwenda kupata kazi japokuwa hawana sifa.

Waziri amevitaka vyuo vikuu kuchukua wanafunzi walio bora ili kuweka sifa ya ubora wa vyuo vyao

Na kuhusu vyuo vilivyochukua fedha ambazo hazikustahili vitalazimika kurudisha fedha hizo na kisha kuchukuliwa sheria kwa waliohusika, amesema bado wanaendelea kugundua idadi kubwa ya wanafunzi mfu walioombewa fedha tangia waanze zoezi hilo na sasa wamefikia vyuo vitatu tu. 



OFFICIAL AUDIO | Diamond Platnumz – I Love You | Download

NEW AUDIO:Dayna nyange Ft. Billnass – KOMELA | Download

CLICK TO Download HERE

Kim Kardashian alipwa shilingi bilioni 1.5 kupiga selfie na mastaa hawa wa Instagram



Wakati ambapo warembo wengi duniani hupiga selfie kuwafurahisha tu followers wao kwenye mitandao ya kijamii, Kim Kardashian anaingiza mkwanja mrefu.

 Tovuti ya Page Six imedai kuwa staa huyo mwishoni mwa wiki alilipwa $700,000 ambazo ni zaidi ya shilingi bilioni 1.5 kupiga selfie na mastaa Instagram huko Hamptons.

Kardashian, aliyepelekwa huko kwa ndege binafsi, alitokea kwenye Revolve Hamptons House huko Water Mill, LI, Jumamosi iliyopita na kupiga picha na mastaa hao maarufu Instagram kwa saa moja.

Kim pia alikuwa na walinzi 25 kumlinda. Kwa mujibu wa Forbes utajiri wa Kim sasa ni zaidi milioni 51. Hizi ni picha alizopiga na mastaa hao:










Picha chafu zavuja na kuvunja ndoa ya wiki moja!


Mwanamke huyo akijiachia ‘kimalovee’ na boyfriend wake wa zamani.

DUNIA ina maajabu! Mwanamke mmoja (jina halijajulikana mara moja) amejikuta akivunja ndoa yake ya wiki moja baada ya picha zake za utupu akijiachia ‘kimalovee’ na boyfriend wake wa zamani kumfikia mume wake wa ndoa wakati wakiwa fungate (honey-moon) baada ya ndoa yake na mumewe iliyofanyika jijini Dar es Saalam.

Tukio hilo la aibu limetokea wiki moja tu baada ya wawili hao kufunga pingu za maisha. Kupitia ujumbe wa sauti mwanamke huyo amedai kuwa picha hizo alijipiga na mpenzi wake zamani miaka saba iliyopita wakiwa chuoni.


Akiongea kwenye Ripoti ya Siku ya kipindi cha Ubaoni cha EFM kilichoruka Ijumaa iliyopita, mwanamke huyo amedai kuwa picha hizo zimedhamlilisha mno kiasi cha kuiharibu ndoa yake, kuwaumiza ndugu zake na kuwakosea heshima wakwe zake na kwamba anajuta kupita kiasi.

“Ni kweli ni mimi ndiye niliyepiga hizo picha lakini ni muda mrefu tangu kipindi nikiwa chuo, yaani hata huyo mtu mwenyewe sijui yuko wapi sina mawasiliano naye tena, sikutegemea kiukweli,” anasema mwanamke huyo.


“Ni kitu ambacho kinaniuma na kimeniharibia mlolongo mzima wa maisha yangu, mpaka sasa hivi sielewi, mume wangu hawezi kunielewa tena na yeye ndio nimemwekea kama nguzo, ndio kila kitu kwasababu hata familia yangu hainielewi ,” ameongeza.

“Mpaka sasa hivi sijui nafanya nini.”

Kwa upande wa mume wake, alidai kuwa picha hizo zimeuvunja moyo wake.

“Tulikuwa tumeshaenda kwenye honey moon tumerudi, sikuamini macho yangu baada ya kuona hizo picha na huyu mwanamke, rafiki zangu walikuwepo wengi sana, best man wangu pia ni vitu ambavyo kuvizungumza mimi nashindwa, naanzia wapi, lakini mapenzi huwa yako hivyo, inawezekana iko hivyo lakini sasa kama mazingira kama yale hata kama ukiwa ni wewe lazima utaumia, familia yangu ntaiambia nini mimi, imenigharamia harusi kubwa,” alisema mwanaume huyo.

Amedai kuwa haoni kama inawezekana tena kukaa chini na mke wake huyo kwa kile kilichotokea.
“Nikae chini ili iweje?” alihoji kwa jazba. “Imeniuma, imeniumiza sana hii kitu haki ya Mungu, hata kama miaka kumi imepita kwanini imekuja kwenye harusi yangu, zawadi zimekuja kwaajili ya harusi yetu kwanini aletewe picha za aina hiyo? Angeniambia before kwamba nilikuwa na moja mbili, ningekuwa najua, lakini amenificha. Imenicost kwa kiasi kikubwa sana, nitaiambiaje familia yangu kwa mfano? Nitasema nini.”

“Sitokuja kupenda tena mwanamke wa aina yoyote ile, mpaka nakuja kuingia kaburini, I swear to God, imetosha kabisa.”

Wawili hao walifunga ndoa tarehe April 23 mwaka huu.

Hebu muone Christina Millan akijiachia katika picha hizi akiwa ufukweni







Mwanamuziki Christina Milian, 34 ameonekana akiwa na vazi la ufukweni  kwenye fukwe maarufu za Ibiza nchini Hispania akiwa na mchumba wake mpya Maggio Cipriani. Tukio hilo limetokea.

Mwimbaji huyo wa maarufu wa RnB wa nchini Marekani aliwahi kutamba na kibao cha Dip It Low.

LULU MICHAEL ASEMA HANA BIFU LOLOTE NA HAMISA MOBETO

Msanii wa filamu, Elizabeth Michael aka Lulu amekanusha tetesi za kwamba ana bifu na aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Dj Majay, Hamisa Mobeto.

Muigizaji huyo ambaye kwa saa anadaiwa kutoka kimapenzi na Majay, aliingia kwenye malumbano na baadhi ya mashabiki wa Mobeto katika mitandao ya kijamii wakimtuhudi kuiba bwana.

Akiongea katika kipindi cha Weekend Chart Show cha Clouds TV Ijumaa iliyopita, Lulu amesema hata tatizo na Mobeto ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa na Majay.

“Sipendi sana kuongelea issue ambayo nitakuwa kama nachochea, mimi ni mtu fulani very peace, very very peace, sina tatizo naye,” alisema Lulu.

Akiongelea kama ni kweli kuna watu walikuwa wanatumwa na Mobeto ili wamtukane alisema “Siwezi kujua kwa sababu sijafuatwa direct, lakini sina tatizo naye, mtu akinipa kijembe namchukulia kama mtu kanipa kijembe”

Hata hivyo, Lulu na CEO wa EFM, Dj Majay kwa sasa wapo karibu zaidi, kwani wawili hao wamekuwa wakipost picha zao katika mitandao ya kijamii wakiwa pamoja.

 

Gallery

Popular Posts

About Us