KINGAZI BLOG: 03/20/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, March 20, 2016

New AUDIO | Lady Jaydee - Ndi Ndi Ndi | Download


New AUDIO | T.I.D x Dully Sykes & Joh Makini - Confidence | Download


Official VIDEO | Bob CAT Ft. LAVA LAVA - STRESS


https://youtu.be/AFilXf-W7ic

=New AUDIO | Algebra ft Stereo, P The Mc, Kigi Rhymes, Nician, Hood C, Canty Didas & Kaa la Moto - SADAKA YA VERSE REMIX | Download


New AUDIO | Peter Msechu - Nikumbatie BWANA | Download


Msichana anayevuja damu machoni


Huyu ni Marnie-Rae Harvey ambaye hutokwa na damu machoni lakini madaktari hawaelewi chanzo chake ni nini.
Msichana huyo mwenye umri wa miaka 17 anasema kuwa hawezi kutoka nje na hana marafiki kwa sababu kila mara huwa nyumbani kwao.

Vikosi vya Kenya na al-Shabab vyapigana

 
Wanajeshi wa Kenya wanasema waliwaua wanamgambo 21 wa al shabbab.

PAPA FRANCIS aingia Instagram



Kiongozi wa kanisa KATOLIKI duniani PAPA FRANCIS, amezindua mtandao wake mpya wa kijamii wa INSTAGRAM, ambao anatarajiwa kuutumia kwa ajili ya mawasiliano mbalimbali na watu
Kiongozi wa kanisa KATOLIKI duniani PAPA FRANCIS

OBAMA kutembelea CUBA


Mamia ya mashabiki wa kundi la muziki cha ROLING STONE cha nchini UINGEREZA, wameendelea kujikusanya katika eneo ambako kikundi hicho kinatarajiwa kutumbuiza
Rais BARACK OBAMA wa MAREKANI

Wananchi wa zanzibar wapiga kura


Hatimaye Wananchi wa Zanzibar hii leo wamejitokeza kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi wa marudio uliofanyika Kisiwani Unguja na Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.Ali Mohamed Shein akipiga kura katika uchaguzi wa

OLE SENDEKA Msemaji mpya wa CCM



Chama cha mapinduzi CCM kimemteua Mbunge wa Zamani wa SIMANJIRO mkoani Manyara, CHRISTOPHER OLE SENDEKA kuwa msemaji wa chama hicho
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimtangaza Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Christopher Ole Sendeka kuwa Msemaji Rasmi wa CCM leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam
Akitangaza hatua hiyo katika mkutano na waandishi wa habari jijini DSM katibu mkuu wa CCM ABDULRAHMAN KINANA amesema uteuzi wa OLE SENDEKA kwa msemaji wa chama hicho, ni hatua ya kupunguza majukumu ya kiutendaji kwa aliyekuwa msemaji wa chama hicho NAPE NNAUYE aliyeteuliwa kuwa waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo.
Kanana amesema hatua hiyo itatoa fursa kwa watendaji hao kutimiza majukumu yao kwa ufanisi zaidi  katika kuwatumikia wananchi.
Akizungumza mara baada ya uteuzi huo,msemaji huyo wa CCM CHRISTOPHER OLE SENDEKA ametoa wito kwa wanasiasa nchini kuacha siasa za  kuponda jitihada mbalimbali zinazochukuliwa na serikali ya awamu ya tano katika kutimiza majukumu yake, ambapo amesema hatua hiyo ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi.

Ni historia leo kwa Zanzibar



UCHAGUZI wa marudio Zanzibar unafanyika leo, huku Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (ZEC),

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo March 20 2016 kwenye, Udaku, hardnews na michezo


March 20 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,/Tanzaniampya news blog na twitter/TZmpyasasa.
 

Gallery

Popular Posts

About Us