KINGAZI BLOG: 04/03/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, April 03, 2016

New AUDIO | Kusini Allstars - Ngoma Ya Kimakonde | Download


VIGOG0 WA NHC NA EWURA WAKANA KULIPWA MISHAHARA YA SH MIL 36 KILA MWEZI

Image result for ewura
 


Image result for nhc tanzania 

Mabosi wa mashirika mawili ya Serikali nchini, wanaodaiwa kulipwa mshahara wa Sh milioni 36, wamekanusha madai hayo, huku wakielezea kushangazwa na taarifa hizo wakati hata nusu ya fedha hizo, hawapati.

New AUDIO | THT - Shusha | Download


PICHA 9: Raila Odinga apaa na Helikopta kutoka Kenya mpaka Chato nyumbani kwa Rais Magufuli


Raila Odinga baada ya kufika Chato alisemamimi na familia yangu tupo likizo na tumekuja

Umeme warudishia watu zaidi ya bil. 69/-


KUSHUKA kwa bei ya umeme kwa wateja wa kada mbalimbali wa nishati hiyo na kuondolewa kwa tozo ya huduma ya kila mwezi ya Sh 5,520 kwa kila mteja wa nyumbani, kumerudisha kwa

Magazeti ya Tanzania yalichoandika leo April 3 2016 kwenye, Habari za kitaifa,kimataifa,udaku na michezo.

(Official AUDIO).JUDITH MBILINYI-WAMEKOSA NINI.[DOWNLOAD].


 

Gallery

Popular Posts

About Us