KINGAZI BLOG: 03/23/16

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, March 23, 2016

Kutoka Ofisi ya Bunge:Majina ya Wabunge Waliobadilishwa Kwenye Kamati za Kudumu za Bunge na Spika wa Bunge Job Ndugai

TMOL FT SELEBOBO - EZINNE(AUDIO)


J.MARTIN FT PHYNOV & YCEE - TEN TEN(AUDIO)


TIWA SAVAGE FT P SQUARE - BAM BAM RMX(AUDIO)





Yemi Alade Ft. Jeff | Kissing RMX (OFFICIAL VIDEO)


RAMA DEE - KIPENDA ROHO(AUDIO)


MAJINA YA WANAFUNZI WALIOHAMISHIWA VYUO VINGINE KUTOKA ST.JOSEPH UNIVERSITY

BUNGE LAANZA KUCHAFUKA

Image result for bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania


SIKU moja baada ya baadhi ya Kamati za Kudumu za Bunge kuhusishwa na tuhuma ya kashfa ya rushwa, Spika wa Bunge, Job Ndugai amefanya mabadiliko ya baadhi ya wajumbe wa kamati hizo ili kuzingatia mahitaji mapya na changamoto zilizojitokeza baada ya kuunda Kamati hizo Januari mwaka huu.

Chadema Yashinda kwa kishindo Umeya Dar



HATIMAYE kitendawili cha nani kuliongoza Jiji la Dar es Salaam kimeteguliwa jana, baada ya wajumbe 158 kupiga kura ya kumchagua meya wa jiji hilo na kumchagua Diwani wa Kata ya Vijibweni, Isaya Charles kushika kiti hicho.

CUF IMESEMA HAIYATAMBUI MATOKEO YA UCHAGUZI ZANZIBAR,HAITAMBUI USHINDI WA DR SHEIN,TAMKO LAO LIKO HAPA


Image result for CUF

Haya hapa Magazeti ya Tanzania leo Jumatano ya March 23 2016 kwenye,habari za Kitaifa,Kimataifa, Udaku, na michezo.


March 23 2016 nakuletea habari mbalimbali zilizoandikwa kwenye magazeti ya leo kwenye habari za kitaifa kimataifa,michezo bila kusahau udaku na stori nyingine kali.Pia usisahau kulike page yetu ya facebook/Tanzaniampya news blog na kutufollow kwenye twitter@TZmpyasasa.20160323_043029
20160323_043043
20160323_043102
20160323_043112
20160323_043137
20160323_043152
20160323_043205
20160323_043218
20160323_043253
20160323_043306
20160323_043322
20160323_043332
20160323_043343
20160323_043352
20160323_043409
20160323_043422
20160323_043438
20160323_043452
20160323_043508
20160323_043520
20160323_043537
20160323_043547
20160323_043601
20160323_043611
20160323_043655
20160323_043718
20160323_043811

New AUDIO | Soggy Doggy Ft. J Deal - Nimemiss kukabwa | Download


 

Gallery

Popular Posts

About Us