Maaajabu!!!!!! Bibi kizee wa miaka 65 kajifungua mapacha wa nne (4) hivi karibuni. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, April 24, 2016

Maaajabu!!!!!! Bibi kizee wa miaka 65 kajifungua mapacha wa nne (4) hivi karibuni.

  Katika hali ya kushangaza dunia na watu kupigwa butwaa,bibi kizee wa miaka ya 65 kutoka Berlin nchini ujerumani ambaye kwa sasa ana watoto 13 kwa baba  watano tofauti,ametangaza
kuwa ni kwa sasa ni mjamzito wa watoto mapacha wa nne.


Kwa mwaka mmoja sasa,bi Anegret Raunigk ambaye ni mwalimu wa kiingereza na kirusi amekuwa akijaribu kupata mtoto mwingine kwa njia ya upandikizaji,
Alisema aliamua kushika ujauzito baada ya kitinda mimba wake mwenye miaka 9 kumwambia anataka wadogo zake wa kucheza 
naye
Bibi Raunigk ambaye amebeba mimba hiyo kwa majuma 21  amesema alishtuka sana pale alipoambiwa amebeba mimba ya watoto mapacha wa 4 na sio mmoja kama alivyodhani, 
Anakuwa mwanamke mwenye umri wa miaka 65 na watoto 13 na mapacha 4 anaotarajia kujifungua hivi karibuni.

Aidha mwanawe leilah alishawahi kuzua mjadala mzito alipozaliwa mwaka 2005 lakini hilo halimsumbui kikongwe huyo ambaye miaka kumi ijayo atakuwa tineja mwenye watoto wanne wachanga 


Mtoto wake wa kwanza anamiaka 44, katika mahojiano na vyombo vya habari bibi huyo yanatarajiwa kuvuta hisia za watu wengi kote ulimwenguni 
Yeye mwenyewe anakiri kwamba tangu apate mimba hiyo haijawahi kumsumbua hata kidogo.
Anayevunja rekodi kwa sasa ni mwanamke anyeitwa Merryl Fudel,aliyejifungua akiwa na umri wa miaka 55,vilevile kuna mwanamke anayeshikilia rekodi  ya kujifungua akiwa na umri mkubwa zaidi ni Omkari Panwar kutoka India aliyejifungua akiwa na miaka 70.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us