Mr.Flavour apata Skendo ya kupiga picha za uchi | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, April 15, 2016

Mr.Flavour apata Skendo ya kupiga picha za uchi


Msanii wa Nigeria, Flavour amefanya kile ambacho tumekuwa tukikiona kikifanywa na wasanii wa Marekani tu na tena wa kike, kupiga picha za nusu utupu na kuweka hadharani.
Kwenye picha hiyo Flavour anaonekana amekaa kwenye jacuzzi akiwa kama alivyozaliwa huku gitaa alilolishika likifunika sehemu zake za siri. 12445911_596053693884311_1042430651_n
Hata hivyo kuna uwezekano mkubwa alikuwa amevaa boxer.
Nusu wameona ni sawa na nusu wengine wameona Flavour amezingua.
“There are many ways u can take a sexy pic aside dis shit. u are an entertainer doesn’t mean u should lose ur senses or throw caution to d wind. real men snap pics wit there kids,fiancees or frnds. u are popular alredy so u dont need 2 display dis childishness. iimagine ur kids seeing dis pic in future? hw wil dey feel? ur guess is a gud as mine. God has blessed u,go make a foundation and bless others too instead of fooling urself on social media tinkin u are impressing us. dis pic is a disgrace to grown ass men like us,” ameandika shabiki mmoja.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us