VIDEO: Ripoti ya CAG imevigusa vyama vya siasa? adhabu kutolewa ndani ya siku 90 | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, April 27, 2016

VIDEO: Ripoti ya CAG imevigusa vyama vya siasa? adhabu kutolewa ndani ya siku 90

Baada ya ripoti ya CAG kutangazwa, Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi  amevitaka vyama vya siasa nchini kuwasilisha hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2014/15 ndani ya siku 90 kabla havijachukuliwa hatua za kisheria.
Pia amevitaka vyama hivyo kuheshimu sheria za mashirika ya umma ambazo ni Sheria ya Ukaguzi wa Fedha za Umma, Sheria ya Fedha za Umma na Sheria ya Vyama vya Siasa
Tulishavikumbusha vyama vya siasa kuwasilisha bajeti zao,  baada ya kupata taarifa ya CAG hatua inayofuata ni kuangalia taarifa hiyo na kuchukua hatua‘ –Jaji Francis Mutungi
Kama kutakuwa na sintofahamu katika mahesabu ya vyama vinavyopata ruzuku hatua ni pamoja na kukata kiwango kinachodaiwa,  lakini tumewaambia kwenye barua kuwa wana miezi mitatu ya kukamilisha suala hili‘ –Jaji Francis Mutungi



BOFYA HAPA KUONA VIDEO:ALICHOSEMA JAJI MUTUNGI KUHUSU RIPOTI YA CAG

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us