VIDEO;Hiki ndicho Anaichokifanya Diamond platnumz kwenye show yake | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, April 11, 2016

VIDEO;Hiki ndicho Anaichokifanya Diamond platnumz kwenye show yake

Diamond Miongoni mwa vitu vinavyoendelea kumpa umaarufu msanii diamond platinumz ni uwezo wake wa kulitawala jukwaa na
kukonga nyoyo za mashabiki wake anapotumbuiza jukwaani.Ni dhahiri kuwa Diamond anauwezo mkubwa na mbinu nyingi za kuhakikisha mashabiki wake hawajutii kumuona akiwa anatumbuiza jukwaani,sasa hebu ona video hii akiwa anaperform jukwaani kwenye tour aliyoifanya Texas Marekani hivi karibuni.


>>>BONYEZA HAPA KUONA VIDEO<<<

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us