Diamond Platnumz Atajwa Kuwania Tuzo za BET | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, May 20, 2016

Diamond Platnumz Atajwa Kuwania Tuzo za BET


Mwananmuziki Diamond Platnumz ametajwa kwa mara ya pili kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act: Africa.

Wakali wengine wanaowania tuzo hiyo ni pamoja na Wizkid, Yemi, AKA na wengineo.

Tuzo hizo zitatolewa mwishoni mwa mwezi Juni nchini Marekani.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us