Hebu mcheki Mtoto wakike wa staa wa filamu za 'Action' Van damme akifanya kama baba yake alivyokuwa. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, May 11, 2016

Hebu mcheki Mtoto wakike wa staa wa filamu za 'Action' Van damme akifanya kama baba yake alivyokuwa.


Mtoto wa nyoka naye ni nyoka vile vile. 

Bianca, binti wa Van Damme

Uzuri wa Bianca Van Varenberg, 25, usikulaghai ukadhani ni binti wa kuchezea tu. Atakupa mkong’oto hadi usahau njia uliyopitia. 

Ni mtoto wa muigizaji mkongwe wa movie za mapigano, Jean Claude Van Damme.

Anajulikana zaidi kikazi kama Bianca Bree. Miaka mitano iliyopita alionekana kwenye uzinduzi wa filamu ya baba yake lakini akawa kimya tena, hadi sasa.

Mwaka 2012 alisema angependa atoke kinyake bila kutumia jina la baba yake ndio maana hajaliweka kwenye majina yake.

Yeye pia anapenda kuja kuwa muigizaji wa filamu.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us