Mimi sifanyi mapenzi, hata boyfriend wangu anajua sipendi kufanya mapenzi – Gigy Money | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, May 07, 2016

Mimi sifanyi mapenzi, hata boyfriend wangu anajua sipendi kufanya mapenzi – Gigy Money

Gigy


Video queen ambaye haishiwi vituko, Gigy Money amefunguka kwa kusema kuwa yeye siyo mtu wa kupenda kufanya mapenzi kama watu wanavyodhani.


Akizungumza na Bongo5, Gigy amesema maisha aliyopitia yamemfanya awe ni mwanamke asiyependa kufanya mapenzi.
“Mimi nimepoteza ile ari ya kufanya mapenzi au kuwa na mpenzi mmoja au nijiachie na mwanaume kama mtu na mpenzi wake siwezi, sasa hivi natafuta maisha, pesa mbele,” alisema Gigy. “Kama yeye ana wivu na mimi, mimi sina wivu na mwanaume,”
Gigy amesema taarifa za kwenye mitandao ya kijamii kwamba anajiuza siyo za kweli, kwani yeye ana mwanaume ambaye anamuudumia kila kitu ingawa hawafanyi mapenzi.
“Nina mtu ambaye ananihudumia, ananipa mtaji ya biashara zangu. Pia hata kwenye muziki anawekeza pesa yake. Kwa hiyo waache wanifikie hivyo wanavyofikiria, mimi nafikiria navyojijua, mimi nipo tofauti sana na wanavyozungumza, ukijaribu kukaa na watu wangu wa karibu watakwambia,” alisema Gigy

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us