Rais Magufuli na Mkewe Waguswa na Stori ya Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Aliyepofuka Macho..Waamua Kumchangia Mil 10 Akatibiwe | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Thursday, May 26, 2016

Rais Magufuli na Mkewe Waguswa na Stori ya Mwanafunzi wa Chuo Kikuu Aliyepofuka Macho..Waamua Kumchangia Mil 10 Akatibiwe

Baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DktJohn Pombe Magufuli, Mkewe Mama Janeth Magufuli na familia yake kuahidi kuchangia Milioni 10 kwaajili ya matibabu ya #Kipepeo Bernadeta Msigwa mwakilishi kutoka ofisi ya Rais Bw. Ngusa Samike amefika katika ofisi za CloudsMediaGroup na kukabidhi fedha hizo. Vilevile Mheshimiwa Rais ametoa ujumbe kwa Kipepeo Bernadeta kuwa amtumainie Mungu kwani ndiye muweza wa kila kitu. Katika upande mwingine Naibu wa Waziri wa Wizara ya Kazi, Vijana na Ajira Mh. Anthony Mavunde amechangia Shilingi Milioni 1. 
Kama umeguswa na unahitaji kuchangia au unataka maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kumsaidia piga namba 0742848729. Pia unaweza kuangalia story yake kamili kwenye account hii ya Instagram@BernadetaMsigwa. 
Asante sana Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us