Hiki ndicho alichojibu Wema kuhusiana na katuni hii aliyochorwa na mastaa wengine wenye uhusiano na mastaa wanaowazidi umri | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, June 03, 2016

Hiki ndicho alichojibu Wema kuhusiana na katuni hii aliyochorwa na mastaa wengine wenye uhusiano na mastaa wanaowazidi umri

Hivi karibuni gazeti moja la udaku liliwachora mastaa wa kike wenye uhusiano na mastaa wa Bongo wanaowazidi umri. Mastaa hao ni pamoja na Jacqueline Wolper aliyechorwa akimnywesha uji mpenzi wa Harmonize anayeonekana akiwa amebeba mdoli.

Wengine ni Wema Sepetu akiwa amempakata Idris Sultan, Zari the Bosslady akimweka Diamond kwenye kitolori cha kuwafundishia watoto kucheza na Aunty Ezekiel akiwa amembeba mgongoni mpenzi wake Mose Iyobo.

Ni Wema pekee ndiye aliyeijibu kwa kupost picha hiyo kwenye akaunti yake na kuandika: Aliechora hii natamani tu nimuone… Nimpe mkono. Leo nimeongeza siku za kuishi wallahy…. I jus laughed too much today….. Ukisoma na dialogue ndo unakufa kabisa…. Nimeipenda hio ya “Aogopa Mimi… Aogopa chacha.”

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us