Mahakama Yamkuta na Kesi ya Kujibu Askari Mtuhumiwa wa Mauaji ya Mwangosi | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, June 22, 2016

Mahakama Yamkuta na Kesi ya Kujibu Askari Mtuhumiwa wa Mauaji ya Mwangosi

 Daud Mwangosi enzi za uhai wake.

Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa askari wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) mjini Iringa, Pasificus Cleophace Simon katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa kituo cha runinga cha Channel Ten, Daud Mwangosi.

Daud Mwangosi aliuawa Septemba 2, 2012 katika Kijiji cha Nyololo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.

Mwangosi kabla ya kuuawa.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us