HII NDIO SABABU YA RAIA WA BELARUS KUFANYA KAZI WAKIWA WATUPU MAOFISINI. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, July 03, 2016

HII NDIO SABABU YA RAIA WA BELARUS KUFANYA KAZI WAKIWA WATUPU MAOFISINI.

Wananchi wa Belarus sasa wamekuwa wakikaa uchi katika ofisi zao baada ya Rais wa nchi hiyo kuwataka kuvua nguo zao na kufanya kazi.
Ukitumia hastag #GetUndressedAndGoToWork utaona picha karibuni maeneo yote ya nchi ambao watu wanapiga picha za utupu na kuziweka katika mtandao ya kijamii.
Rais wa nchi hiyo aliyasema hayo katika mkutano wa tano wa chama cha Belarusian People’s Congress. Mbali na kauli hiyo, Rais huyo alizungumzia umuhimu wa teknolojia katika kuinua uchumi wa nchi hiyo ambayo upo katika hali mbaya.kwa takribani muongo mmoja sasa.Hapa chini ni baadhi ya picha za raia hao wa Belarus wakiwa utupu kazini.


google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us