MSANII SABBY ANGEL ASEMA KWA MAUNO YANGU HAKUNA ANAYENIFIKIA . | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, July 31, 2016

MSANII SABBY ANGEL ASEMA KWA MAUNO YANGU HAKUNA ANAYENIFIKIA .

Mduara, Sabrina Omary ‘Sabby’.

Msanii wa filamu ambaye hivi sasa amejiingiza kwenye Muziki wa Mduara, Sabrina Omary ‘Sabby’ amefunguka kwamba anajiamini linapokuja suala la kukata viuno kiasi kwamba haoni msanii wa kike wa kumfunika.

Sabby ambaye ametoa kibao kinachokwenda kwa jina la Inahusu amesema anajua uwezo wa kuimba anao, ukijumlisha na uwezo wake wa kukata nyonga kana kwamba hana mfupa kiunoni anaamini atatusua kimuziki.

“Mimi najua ninaimba miondoko kama ya Shilole lakini niseme tu kwamba, yeye na wasanii wengine wa kike hakuna wa kunifikia kwa mauno,” alisema Sabby.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us