VIDEO YA "KIDOGO" YA Diamond Platnumz YAFIKISHA WATAZAMAJI ZAIDI YA MILLIONI 1. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Sunday, July 17, 2016

VIDEO YA "KIDOGO" YA Diamond Platnumz YAFIKISHA WATAZAMAJI ZAIDI YA MILLIONI 1.

Diamond Platnumz ameendelea mkushika hisia za watu baada ya kuendelea kuongeza idadi ya watazamaji wa video ya wimbo wake mpya wa KIDOGO aliowashirikisha  PSQUARE  hatimaye imefikisha watazamaji millioni moja kwa siku nne pekee.

Video ya wimbo huo imetoka katika kipindi ambacho kundi la P-Square bado halina maelewano mazuri.kama hukuiona video ni hii hapa chini.bofya kuona

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us