Mwanariadha Usain Bolt apata skendo ya picha, za, utupu na mwanafunzi | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, August 22, 2016

Mwanariadha Usain Bolt apata skendo ya picha, za, utupu na mwanafunzi

 Mwanariadha wa Jamaica, Usain Bolt (30) ameingia kwenye kashfa baada ya picha zake kadhaa akiwa na mwanafunzi wa kike wa Rio wa miaka 20 kusambaa mtandaoni.

Mwanafunzi huyo ambaye ametambulika kwa jina la Jady Duarte alisambaza picha kadhaa kwenye mtandao wa Whatsapp akiwa na Bolt kwenye pozi mbalimbali za kimahaba huku picha nyingine zikiwaonyesha wakiwa kwenye klabu ya usiku ya Barra de Tijuca iliyopo jijini Rio de Janeiro.

 Bolt akiwa na Jady Duarte kwenye klabu ya usiku

Akiongea na gazeti la Extra, Duarte amedai kuwa hakuwa anafahamu kama mwanariadha huyo ni maarufu zaidi duniani ndio maana ikawa rahisi kwake kusambaza picha hizo.

 Picha ya Jady Duarte

Aidha Bolt anadaiwa kuwa na mahusiano na Kasi Bennett (26) kwa takribani miaka miwili sasa na tayari walikuwa kwenye mikakati ya kufunga ndoa.

Hata hivyo hayo yakiendelea kutokea Bolt anasherehekea kusaini dili jipya na kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Nike kwa mkataba wa miaka 10 ambao atakuwa akiingiza kiasi cha dola milioni 30 kila mwaka akiungana na mcheza kikapu, Kevin Durant aliyesaini na kampuni hiyo mwaka 2014.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us