Vyakula vinavyopendekezwa kutumiwa na wanawake wakati wa Siku zao (period). | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Monday, September 19, 2016

Vyakula vinavyopendekezwa kutumiwa na wanawake wakati wa Siku zao (period).

Katika kipindi cha mzunguko (siku za hedhi) kwa kawaida wanawake hupoteza kiasi cha damu pamoja na baadhi ya madini chuma mwilini.

Hali hiuo huweza kusababisha upungufu wa damu kama mwanamke atakuwa hapati lishe bora na ya kutosha. Sasa ili kuzuia upungufu wa damu na madini mwilini, msichana anatakiwa kula vyakula vyenye madini chuma na chokaa kwa wingi ikiwa ni pamoja na hivi vifuatavyo:-

Orodha ya vyakula vinavyopendekezwa

Mboga za majaniMaharageSoyaSamakiMaziwaKoroshoMayaiDagaa n.k.
Mbali na vyakula hivyo, pia mwanamke huhitaji kuzingatia hali ya usafi wa mwili, hasa sehemu za siri . Tumia vitambaa safi vilivyo nyooshwa kwa pasi au pedi zilizohifadhiwa katika hali ya usafi.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us