WALIOJIBADILISHA JINSIA WATAKA KUTAMBULIWA JINSIA MPYA WANANYANYASIKA PAKISTAN. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, September 17, 2016

WALIOJIBADILISHA JINSIA WATAKA KUTAMBULIWA JINSIA MPYA WANANYANYASIKA PAKISTAN.

Nchini Pakistan watu waliojibadilisha jinsia wametishia kwenda mahakama kuu kudai haki zao za msingi kwani wananyanyaswa.Madai yao nikutambulika kisheria waajiriwe,huduma za afya na elimu wapewe.Wamekua wakijiuza na kucheza kwenye harusi ili kupata fedha ya
kujikimu.Sababu za msingi zakujibadilisha ni kutokukubali jinsia walizozaliwa nazo.


google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us