Adele aomba msamaha baada ya shabiki kujeruhiwa | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, March 26, 2016

Adele aomba msamaha baada ya shabiki kujeruhiwa

Image result for adele

Adele
Mwanamuziki wa muziki wa Pop Adele ameomba msamaha baada ya shabiki mmoja kujeruhiwa
alipoangukiwa na nyororo katika tamasha la Glasgow.
Nyota huyo alikuwa anaendelea na onyesho lake katika ukumbi wa SSE Hydro siku ya ijumaa usiku wakati nyororo hiyo ilipomuangukia mwanamke huyo aliyekuwa amekaa katika eneo la mashabiki.
Alichukuliwa na kupelekwa hospitali kama tahadhari kulingana na msemaji wa ukumbi huo.
Adele baadaye alituma ujumbe katika mtandao wake wa Tweeter akisema: Pole kwa kusikia kwamba kuna mtu alijeruhiwa katika tamasha yangu usiku.
Uchunguzi unaendelea ili kuhakikisha kisa kama hicho hakitokei tena.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us