SAMSUNG yazindua simu mpya | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, March 25, 2016

SAMSUNG yazindua simu mpya



Kampuni ya kimataifa ya vifaa vya elektroniki ya Sumsung imesema simu aina ya Sumsung Galaxy s7 na S 7 Edge zimetengenezwa kwa teknolojia ambayo inamwezesha mteja kuitumia kwa ufanisi
SAMSUNG yazindua simu mpya
Akizungumzia kwenye uzinduzi wa simu hizo jijini DSM,meneja mauzo wa Sumsung Ibrahim Kombo amesema  muundo wa simu hiyo ni wa kuvutia ina kamera na programu zilizounganishwa moja kwa moja na mtandao wa bidhaa na huduma za Galaxy.
Amesema simu hizo zimeunganishwa na kifurushi cha GB 10 kutoka VODACOM.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us