Hii Ndiyo Mipango ya Diamond kwa Mwaka Huu | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, April 06, 2016

Hii Ndiyo Mipango ya Diamond kwa Mwaka Huu



numz akitangaza kolabo na wasanii wa kutoka Marekani lakini hakuna hata moja tuliyoona hata cover yake,mwaka jana rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete alimuunganisha Diamond na meneja wa Trey Song na ikasema kuwa kuna kolabo itafuta hiyo ni mbali na Swizz Beats,Alicia Keys,Alaine,Kanye West na wengine,na hivi karibuni tumeona picha ya Diamond akiwa na Awilo Longomba inawezekana kuna kolabo itafuata,sasa isue hua inaishia kwenye kupiga picha peke yake au inakuaje?

‘’Kuna kitu ‘sometimes’ tunasema wanamuziki wenzangu wa Tanzania tusikimbilie katika soko ikiwa kuna soko ambalo hatujalimaliza kwahiyo napiga hapa katikati kolabo nyingi za Waafrika ili niishike Afrika na nijizatiti zaidi usisahau kama mimi sijaanza ‘tour’ yangu rasmi Afrika bado kwasababu nishaona wanigeria wakipiga ‘tour’zao Gabon na sehemu zingine ,na ndio ‘target’ yangu kwa mwaka huu’’ Alisema Diamond.

‘’Na sio kwamba nilikuwa sipati ‘tour’ lakini nilikuwa sitaki kufanya shoo kiudogo ya watu elfu kumi kwenye ‘viklabu’ unaenda Ghana unapiga shoo klabu ni kujidharirisha watu wanakuona unaenda huko wanategemea upige uwanjani’’ Aliongeza Diamond.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us