Jipya kuhusu kifo cha Pamba Wemba, tazama huyu jamaa kwenye video hii. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, April 30, 2016

Jipya kuhusu kifo cha Pamba Wemba, tazama huyu jamaa kwenye video hii.

Taarifa  ambazo zinazidi kuenea kwenye vyombo vya habari Congo na mitandao ya kijamii hata hapa Tanzania ni msiba wa Papa Wemba lakini sasa mjadala umehamia kwenye namna kifo chake kilivyotokea
Kipande cha video kinachomuonesha jamaa akichukua mic halafu akairudisha kwenye stage na baada ya Pamba Wemba Kuanguka inadaiwa jamaa yuleyule badala ya kumsaidia alikimbilia mic ili isijulikane. Taarifa zinazoenea ni kwamba mic ile ilikuwa imewekewa sumu.
Hapa Mwanamuziki wa Congo anayeishi Tanzania, Papii Catalogue ameitafsiri video hiyo kwa lugha ya kiswahili, unaweza kuitazama

bofya hapa kutazama video

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us