LULU AAMUA KUONYESHA PETE YAKE YA UCHUMBA HADHARANI | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, April 30, 2016

LULU AAMUA KUONYESHA PETE YAKE YA UCHUMBA HADHARANI

Msanii wa filamu za kibongo Elizabeth Michael maarufu kama lulu amekuwa akipost picha mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii akiionyesha  pete aliyovalishwa iliyopo kwenye kidole chake huku akiweka baadhi ya maneno kwenye post hizo.hebu jionee hapa picha hizo,Na Haya ndo maneno aliyoyaandika.

Simplicity z the key.
Kwenye picha nyingine ameandika: Pale unaposikia Kwa…Kwa…Kwa…Kwa Ya Rihanna wakati WA kupiga picha #simplicityisthe.
:


google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us