Picha Mzee Mengi na Jacqueline Maisha ni Motomoto... Wakubwa Wanafaidi Sana | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, April 22, 2016

Picha Mzee Mengi na Jacqueline Maisha ni Motomoto... Wakubwa Wanafaidi Sana


Kweli pesa ni kila kitu.Hizi ndio pesa na raha yake,sio wale watani zangu wa Nyanda za Juu Kusini,unakuwa na pesa halafu mke unamuweka kama "msukule" anakaa tu dukani siku nzima.

Bata mara moja moja kama hivi si haba,unakula bata na watoto na wife hapa na pale..Mambo ya kuja Dsm kwa kupanda fuso peleka huko...

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us