Rais Magufuli Atema Cheche Kuhusu Wanaolalamika Juu ya MAJIPU Anayoyatumbua Hadharani..Angalia Video Hapa | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Friday, April 22, 2016

Rais Magufuli Atema Cheche Kuhusu Wanaolalamika Juu ya MAJIPU Anayoyatumbua Hadharani..Angalia Video Hapa




Rais Magufuli leo amekutana na Viongozi wa CCM ngazi za Mikoa na Wilaya kwa lengo la kuwashukuru kwa kazi nzuri walizofanya wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka jana. 




Katika hafla hiyo, Rais Magufuli ameeleza kusikitishwa kwake na baadhi ya watu wanaowaonea huruma mafisadi ambao wamekuwa wakitumbuliwa hadharani.



Amesema fisadi hastahili huruma kwa sababu yeye wakati wanawaibia wananchi hakuwa na huruma.



"Wapo Wanaodai Tunakiuka haki za Binadamu Kuwatangaza Wanaotumbuliwa.....Wao walikuwa Wanafanya sawa Kuwaibia Hadharani Watanzania? " Amehoji Rais Magufuli.


==> Zaidi Tazama Video hapa Rais Magufuli Akizungumza

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,ushauri na maoni au chochote wasiliana nasi kupitia 0716528779/0755542721

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us