Album ya Navy Kenzo ina collabo za kimataifa za kutisha. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, May 10, 2016

Album ya Navy Kenzo ina collabo za kimataifa za kutisha.


Navy Kenzo hawataki mchezo. Album yao ijayo, Above in A Minute ina collabo kibao za kimataifa.

“Tuna collabo na Alikiba, tuna collabo na Patoranking, tuna collabo na R2Bees kutokana Ghana, tuna collabo na Jesse Jagz kutoka Nigeria,” Nahreel ameiambia Bongo5.

Ameongeza pia kuwa ziara yao itaendelea hadi Nigeria na Ulaya.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us