BUNGENI:Mussa Azzan Zungu Achaguliwa Kuwa Tena Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, May 10, 2016

BUNGENI:Mussa Azzan Zungu Achaguliwa Kuwa Tena Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania


KUTOKA BUNGENI: Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azzan Zungu amechaguliwa leo kuwa tena Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Akitoa neno la shukrani Zungu amesema nafasi hiyo sio rahisi lakini ataitumikia kwa uadilifu tena bila kupendelea upande wowote.Napia ametoa shukrani kwa wabunge waliomchagua kuwa tena kwenye nafasi hiyo.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us