BREAKING NEWS: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia ghafla. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, May 21, 2016

BREAKING NEWS: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar, Willson Kabwe afariki dunia ghafla.

Aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la dar Wilson kabwe  amefariki dunia akiwa nchini India alikokuwa kwa matibabu.
Inasemekana kwamba tangu siku ile atumbuliwe jipu na Rais Magufuli pale kwenye uzinduzi wa Daraja la Kigamboni (Nyerere Bridge) alipata  (mshtuko) mkubwa sana na kupelekwa  India kupatiwa matibabu.ndipo umauti ukamfika akiwa anaendelea kupatiwa matibabu.

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us