JESHI LA KUJENGA TAIFA LATANGAZA MAJINA YA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA WATAKAOJIUNGA NA JESHI HILO MWAKA 2016. | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Saturday, May 21, 2016

JESHI LA KUJENGA TAIFA LATANGAZA MAJINA YA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA WATAKAOJIUNGA NA JESHI HILO MWAKA 2016.

 BOFYA HAPO CHINI KUONA MAJINA>>
Jeshi la kujenga taifa limetangaza majina ya wanafunzi waliomaliza kidato cha sita mwaka huu watakaojiunga na mafunzo ya jeshi kwa mujibu wa sheria.Katika taarifa ya jeshi hilo kwa umma jeshi hilo limesema vijana wamepangiwa katika makambi mbalimbali ya jeshi  yaliyopo katika mikoa mbalimbali hapa nchini na kutoa maagizo mbalimbali

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us