GIGY MONEY ASHAMBULIWA BAADA YA KUTUPIA PICHA ISTAGRAM AKIMKIS IDRISS SULTAN,TEAM WEMA WATOA KAULI | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Tuesday, May 03, 2016

GIGY MONEY ASHAMBULIWA BAADA YA KUTUPIA PICHA ISTAGRAM AKIMKIS IDRISS SULTAN,TEAM WEMA WATOA KAULI


 
Picha zinazomuonesha Gigy Money wakati akimpiga mabusu Idris Sultan wakiwa katika show ya Pool Party iliyofanyika Ijumaa iliyopita katika hotel ya Regency Park jijini Dar es salaam, zinawatoa povu mashabiki wa Wema Sepetu.
Video queen huyo alipost picha hizo katika mtandao wake wa instagram na kuandika "Bwanaaa bwanaaa nisipige picha na watu" Pia katika picha nyingine aliandika "I don’t care"
Picha hizo ziliibua hisia tofauti kwa mashabiki wa Wema Sepetu na kuanza kumshambulia Gigy. Haya ni maadhi ya maoni ya mashabiki hao.
@Izack_da_real Wee kilasiku wakudandia vya watu? Embu kua mbunifu tafuta wako @gigy_money
@Jessy_jay_jacob Mmmmmh unavyo ji sex sisha kwa @idrissultan kisa kashikilia icho kiuno 😂😂😂😂😂 umeshia kupata manukato yake tu hapo😂😂😂😂😂
@Aishafadhir Jmn wa2 mnajua kukuza vtu khaaa….pic tu mnatoa maneno yote hayo jmn waachen binadamu wenzenu waish maisha yao jmn mnakera kwakwel…..idrs akpga pic na grl s bas wanamahusiano ?wema akpga pic n boys bas wanamahusiano ?2seme nyie hamna urafik na tofaut ya jnsia zenu? Huyu mdada akpost pic na mtu yeyote anatafuta kiki? Kwan yy n nan na idris n nan? Wote wanajuana na ndomana wakajselfiiiii …..Jmn hebu fanyen yenu mnachosha kila sku kuingilia mapenz yawa2 yenu huko yanawashnda
@Katoto_lee Muacheee umalayaa, we na dada yakoo Anaomba kupiga pichaa alafuuu anaanza kujiproud katokaa naeeee😭😭😭😭yaaniii gig ni chefuuuuuuuuu
@vivian Shingo alivyolinyoosha ilimla tu atafte kiki jaman kweli gigy money gigy elf20 shikamoo ney wa mitego
@Pinkylioussalvado Ahahaha,,shikamoo ney wa mitego(dem ana xura mbaya ila ana bonge LA tako)

google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us