JIONEE PICHA YA KABURI ATAKALOZIKWA PAPA WEMBA HIVI KARIBUNI | KINGAZI BLOG

KARIBU UHABARIKE KIGANJANI MWAKO.

Breaking News
Loading...

Wednesday, May 04, 2016

JIONEE PICHA YA KABURI ATAKALOZIKWA PAPA WEMBA HIVI KARIBUNI

 
Zimepita siku zaidi ya kumi tangu mwanamuziki wa kitambo PAPA WEMBA kufariki dunia akiwa stejini nchini mjini Abidjan ivory coast.
 Alikokuwa amealikwa kutumbuza katika  tamasha na hatimaye umauti ukamkuta akiwa anatumbuiza.Baada ya kuwasili mjini kinshasa wiki iliyopita mwili wake ulihifadhiwa na kusubiri hatua za mazishi zifanywe.
Hebu jionee picha ya kaburi ambapo anatarajiwa kuzikwa nguli huyu wa muziki.HILI NDILO Kaburi atakalozikwa Papa Wemba


google+

linkedin

About Author
  • BLOG NAMBA MMOJA KWA MATANGAZO YA AJIRA NA NAFASI ZA KAZI TANZANIA. Soma zaidi

     

    Gallery

    Popular Posts

    About Us